Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

unaanza kuleta chokochoko za udini, acha hii tabia mara moja
Jibu hoja. Kwanini viongozi wa kanda wote dini moja? Hili mbona unajificha kujibu? Tutamuuliza lissu kampeni zikianza
 
Jibu hoja. Taja mwenyekiti wa kanda 1 tu muislam. Ukiondoa kutoka zanzibar, kiongozi gani wa bara ni muislam? Hakuna waislam chadema?
sasa kama hawajajitokeza wangechaguliwaje kwa wajihi wao? Kama unaona hawakupewa nafasi bado kuna vyama vingine vinawahitaji waende huko
 
sasa kama hawajajitokeza wangechaguliwaje kwa wajihi wao? Kama unaona hawakupewa nafasi bado kuna vyama vingine vinawahitaji waende huko
Hawajitokeza kweli au mliwapiga chini?
 
Hahaha si jana mlisema chadema haina pesa ya kulipa mishahara? Imepata wapi tena pesa za kuchezea overnight?😀
Kijana una stress mbaya sana angalia usalama wako wa kisaikolojia aisee
 
sasa kama hawajajitokeza wangechaguliwaje kwa wajihi wao? Kama unaona hawakupewa nafasi bado kuna vyama vingine vinawahitaji waende huko
Aliowachagua lissu jee? Hawana sifa waislam hapo?
 
Hawajitokeza kweli au mliwapiga chini?
sasa kama hawana ushawishi utawachaguaje? Mtu anaomba kuchaguliwa huku hana uwezo, hana haiba ya kisiasa, hana mvuto utamchaguaje kwa misingi ya dini ili tu kubalansi mambo?
 
sasa kama hawana ushawishi utawachaguaje? Mtu anaomba kuchaguliwa huku hana uwezo, hana haiba ya kisiasa, hana mvuto utamchaguaje kwa misingi ya dini ili tu kubalansi mambo?
Kwa hivyo waislam wa chadema wote hawana mvuto? Mvuto upi huo? Hawaingii kanisani?
 
Back
Top Bottom