- Thread starter
- #81
Katiba ya chadema inatamka, kiongozi sio malaika ni wajibu kukosolewa. Kama Lissu ndani ya miaka anamshambulia mbowe mbona hujaja kuandika humu?Huna hoja, wewe ni mpuuzi tu ambaye masaa 24 unawaza kumshambulia Lissu tu, ulifanya hivyo wakati wa mchakato wa uchaguzi wa Chadema ukaangukia pua bado hujajifunza tu kuwa kazi uliyoifanya usiku kucha haikuwa na tija yoyote na bado unaendeleza upumbavu huo huo hii ni ishara kuwa una mtindio wa ubongo.