Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Wakiristo hawana hitma, wakishazikwa ndio kwa heri tena. Ukiondoa kutoka zanzibar waliobaki viongozi wote wa bara chadema ni wakiristo
Hizi propaganda za dini na siasa zilishafeli kitambo sana.hata CCM iliwahi kuitwa chama cha Wakristo,Hata CUF iliwahikuitwa chama cha Waislamu,hakuna uhusiano wowote kati ya CHADEMA na dini,kama hoja ni dini,Waislamu walikuwa wapi wakati wakristo wanachukua fomu CHADEMA ?
Ukilala hautohamshwa
 
Hoja sio chama cha wakiristo. Swali lipo hivi.
Kwanini viongozi wa kanda wote wa dini moja? 100%
 
Udini maana yake nini? Swali langu lipo hivi?
Kwanini wenyeviti wote wa chadema dini moja?
Kwa sababu CHADEMA siyo chama chenye mfungamano na dini,hivyo yeyote mwenye kutaka nafasi ya uongozi achukue fomu agombee,kwani Waislamu waliomba uongozi ndani ya CHADEMA wakanyimwa.
 
Nimekuelewa kwamba wamenyimwa
 
Hoja sio chama cha wakiristo. Swali lipo hivi.
Kwanini viongozi wa kanda wote wa dini moja? 100%
Pia chama kuwa na Viongozi wengi wa dini fulani,siyo sababu ya chama kuwa cha Kidini.
Hao viongozi waliteuliwa au walipigiwa kura ?
Wakati hao viongozi wanachukua fomu,Waislamu walikuwa wapi ?
Kwa mujibu wa unavyoijua CHADEMA,ni wapi wamesema kuwa wanachaguana kwa vigezo vya dini ?
Kama kigezo ni dini,kwanini hiyo hoja wanachadema wenyewe hawajawahi izungumza na kuleta ushahidi ?
 
Sijasema chadema cha wakiristo. Swali langu dogo tu. Kwanini wenyeviti wa kanda zote 100% ni dini moja?
 
Back
Top Bottom