Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Katiba ya chadema inatamka, kiongozi sio malaika ni wajibu kukosolewa. Kama Lissu ndani ya miaka anamshambulia mbowe mbona hujaja kuandika humu?
 
Katiba ya chadema inatamka, kiongozi sio malaika ni wajibu kukosolewa. Kama Lissu ndani ya miaka anamshambulia mbowe mbona hujaja kuandika humu?
Miaka gani hiyo Lissu amemshambulia Mbowe? Labda uko ndotoni amka utajikojolea bure kitandani.
 
Uchaguzi umeshaisha endelea na mambo mengine makasiriko hayatakusaidia lolote unatafuta sonona bila sababu.
 
Kilikuwa chama cha Wachaga sasa Wakristo.
 
Sugu
Devote ninja
Wenje
Bony yai
Wakili
Hawa wote wakiristo. Sio kwa bahati mbaya hii, hii imepangwa maalum kupambana na Samia
Kwani wewe muislamu uliwahi kugombea uongozi hapo chadema ukaambiwa waislamu hawatakiwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…