The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ni akili kubwa ndio unadhani akili kubwa ni kutolipa Kodi? 😆😆Yaani unamaanisha kufuta ada ya 70,000 na kuweka kodi siyo rasmi kwa kila raia nchini siyo - yaani tutamsajili bodaboda na tutamtaka kwa siku atupatie walau trip moja tu ya buku mbili kati ya trip 15 zake kwa siku tu kupitia TIN yake, vivyo hivyo mama ntilie naye atupatie nusu sahani ya wali yaani 1500 kati ya 10 anazouza kwa siku.
Kweli hii ni akili kubwa !!