Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

Madini yamefanya nini sasa wewe fala? Hujasikia sheria za Kodi kwenye madini kushushwa Ili watu waache kutorosha madini na viwanda vya kusafisha madini hasa dhahabu vipate malighafi?

Shida Mnakurupukia mambo yaliyo nje ya uweao wenu wa akili.
Tumia akili kubwa na kama huna azima hata kwa panya.

Una matusi mpaka unakera.
Mdomo wako unanuka shombo.
Mrudie bwana na utubu urejee.
 
Bajeti ya Zanzibar upande wa Kodi za biashara ipo vizuri sana na ningependa na huku ikawa hivyo Sasa sijui bara wamekwama wapi? Mpaka kuendelea na Kodi za makadilio zinazoumiza watu.
 
Harafu kama huna Takwimu usiwe unajadiliana na mimi kajadiliane na wapumbavu wenzio ndio muwe mna share foolish feelings maana seems huna akili timamu.Kungekuwa na ugumu wa maisha transactions zingeongezeka? Sekta ya mawasiliano ingekuwa kwa 9%?

Kwa kuwa huna akili ndio nakwambia sasa kwamba Serikali imeshusha hizo miamala sio kwa ajili ya kushusha gharama za maisha bali kuvutia watumiaji wazuri..

Nyie ndio mlikuwa mnadanganya ooh sijui miamala imeshuka na upuuzi kama huo,haya hapa miamala imeshuka?[emoji116]
Huna chanzo kingine chochote cha uhakika zaidi ya TSN!!??
 
Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
Linatengenzwa tatizo halafu hao hao wanatatua tatizo.

Hivi Kodi za Miamala aliweka nani?
 
TIN ni namba ya utambulisho wa mlipa Kodi,lengo ni kutambua watu wanaostahili kulipa Kodi yaani workforce..

Baada ya kutambua humo ndani otajulikana nani mwanafunzi na nani ni jobless na nani anashughuli ya kufanya Ili alipe Kodi..

Kiufupi ni kwamba wanataka watambue idadi ya wanaostahili kulipa Kodi ilimradi una Kazi ya kuingiza mapato yanayostahili kulipiwa Kodi..
Asante.
Ni hatua nzuri kama kutakuwa na usawa na haki katika utekelezwaji wake.

Watarahisisha zaidi kama watafanya hivi kwa kila huduma muhimu kwa jamii kama NIDA, RITA, Passport, vipatikane tu kwa urahisi sio mpaka mbilinge, urasimu na hongo!
 
Back
Top Bottom