Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

Ni akili kubwa ndio unadhani akili kubwa ni kutolipa Kodi? πŸ˜†πŸ˜†
 
Dah wewe unajua matusi tu.

Jumlisha hiyo B na A Utapata.
 
Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
Nani aliweka hayo makato ndugu muheshimiwa?
 
Harafu kama huna Takwimu usiwe unajadiliana na mimi kajadiliane na wapumbavu wenzio ndio muwe mna share foolish feelings maana seems huna akili timamu.Kungekuwa na ugumu wa maisha transactions zingeongezeka? Sekta ya mawasiliano ingekuwa kwa 9%?

Kwa kuwa huna akili ndio nakwambia sasa kwamba Serikali imeshusha hizo miamala sio kwa ajili ya kushusha gharama za maisha bali kuvutia watumiaji wazuri..

Nyie ndio mlikuwa mnadanganya ooh sijui miamala imeshuka na upuuzi kama huo,haya hapa miamala imeshuka?πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220521-215651.png
    122.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220521-213837.png
    129.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220614-122547.png
    35.4 KB · Views: 5
Sijamaliza kusoma mkuu nimeona niishie njiani[emoji119]
 
Mbona hujagusia madini nguruwe we
 
Mbona hujagusia madini nguruwe we
Madini yamefanya nini sasa wewe fala? Hujasikia sheria za Kodi kwenye madini kushushwa Ili watu waache kutorosha madini na viwanda vya kusafisha madini hasa dhahabu vipate malighafi?

Shida Mnakurupukia mambo yaliyo nje ya uweao wenu wa akili.
 
Sasa we kiazi mbona its obvious watu ulita wasitumie miamala wakati ndiyo means rahisi kuhudumia, vijijini kuna bank ngapi au taasisi ngapi za fedha watu waweze kupata huduma, so watu hawana means ndiyo maana kumeonekana kuna ongezeko la watumiaji simu na miamala, hivi nikuulize we kiazi mbona madini ni sehemu yenye kuleta mapato zaidi lakini haijawahi tusaidia, mbona hujaleta data za madini umebaki kuchukua cooked data za kwenye magazeti, Lete takwimu toka chanzo cha NBS
 
Madini yamefanya nini sasa wewe fala? Hujasikia sheria za Kodi kwenye madini kushushwa Ili watu waache kutorosha madini na viwanda vya kusafisha madini hasa dhahabu vipate malighafi?

Shida Mnakurupukia mambo yaliyo nje ya uweao wenu wa akili.
Kweli we sunk cost ua worthless creature, so kushisha kwa kodi kwenye madini italeta control ya kutorosha madini kweli?
 
Madini yamefanya nini sasa wewe fala? Hujasikia sheria za Kodi kwenye madini kushushwa Ili watu waache kutorosha madini na viwanda vya kusafisha madini hasa dhahabu vipate malighafi?

Shida Mnakurupukia mambo yaliyo nje ya uweao wenu wa akili.
Umeshajiuliza ni sababu gani madini yanatoroshwa?
 
Huna akili shida ndio Hiyo,si wewe kiazi mlisema tozo zitapunguza miamala watu watafunga biashara na banks kitakuwa na foleni? πŸ˜„πŸ˜„..

Tena mkasema itaongeza inflation,mpaka unajiuliza inflation na miamala wapi na wapi? Ndio mumeaibika na kujiona mlivyo viazi,wewe jikite kwenye history ulikobobea kwenye uchumi tuachie sisi wenye fani..

Eti ndio means pekee kwani banks hazipo?
 
Vijijini kuna bank ngapi, ni muwekezaji gani apeleke tawi la bank vijijini ambapo mzunguko mdogo, sema wewe ubishi ninjadi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…