Kwakuwa kuna timu ndogo ndio Uweke nembo kwa udhamini wa million 3 kwa mwezi?Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Hakuna Sheria inasema mdhamini mwenza lazima Logo yake ikae kwenye Jezi.Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Hapa HOJA ni SSC kukubali "udhamini" wa GSM ambaye ni mdhamini na mtendaji huko Yanga! SIMBA SC wanaweza hata kugoma kwa sababu ya hizo rangi za GSM kama alivyogoma YANGA dhidi ya rangi za NBC!Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Sawa KabwiliMimi sitaki hata ku comment hapa maana unaweza kushambuliwa kuwa labda shabiki wa team fulani ila ki ukweli katika makuzi yangu nilikuwa mpenzi sana wa Simba ila siku hizi sina ushabiki wa hivyo zaidi ni Liverpool tu...
Kosa langu kuandika tu kuhusu mambo ya mpira wa Tanzania haustahili hata wakatu kuandika mambo ya Yanga sijui Simba ni upumbavu mtupu. hii comment yangu ya mwisho kuhusu mpira wa Tanzania.Sawa Kabwili
Umetekwa akili na wadhamini. Watu wanafanya biashara na sasa wapo katika vita ya biashara wala simba sio tatizo.Kesho TFF ndo watajua kuwa Simba ni timu kubwa barani Africa....
We ni utopolo mkubwa kwa akili ,ako finyu Vunja bei kaweka 1b kwa mwaka mmoja halafu huyo Gsm kaweka sijui m60 kwa kila team umtoe Vunja bei uweke hao maharamia GsmMimi sitaki hata ku comment hapa maana unaweza kushambuliwa kuwa labda shabiki wa team fulani ila ki ukweli katika makuzi yangu nilikuwa mpenzi sana wa Simba ila siku hizi sina ushabiki wa hivyo zaidi ni Liverpool tu...
Hujui kinachoendelea kati ya Simba na Tff.Mimi sitaki hata ku comment hapa maana unaweza kushambuliwa kuwa labda shabiki wa team fulani ila ki ukweli katika makuzi yangu nilikuwa mpenzi sana wa Simba ila siku hizi sina ushabiki wa hivyo zaidi ni Liverpool tu. Katika hili nadhani kuna mtu anadhani mkubwa kuliko wazazi mpira unaendeshwa kwa sheria na sheria lazima ziheshimiwe wako wanasheria wao ndio wanatakiwa watizame kama kuna sheria zimevunjwa watoe ushauri au tafsiri za sheria. Maana inaondoa hata ile hali ya watu kuongelea mpira watu wako busy na mambo nje ya mpira wakati mpira wetu wenyewe bado unasafari ndefu sana lakini tunajiona kama tuko level ya akina Chelsea sio huko...
Weka hizo sheria mkuu.Ili tuone Sasa Simba Hawa a hoja.Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Je kama hiyo ndo value ya ligi kwa mdhamini mwenza?We ni utopolo mkubwa kwa akili ,ako finyu Vunja bei kaweka 1b kwa mwaka mmoja halafu huyo Gsm kaweka sijui m60 kwa kila team umtoe Vunja bei uweke hao maharamia Gsm
Sasa mkuu kwani nimekutusi,sinimekufananisha na mchezaji wenu Kabwili katika kudaka michomoKosa langu kuandika tu kuhusu mambo ya mpira wa Tanzania haustahili hata wakatu kuandika mambo ya Yanga sijui Simba ni upumbavu mtupu. hii comment yangu ya mwisho kuhusu mpira wa Tanzania.
Hapa HOJA ni SSC kukubali "udhamini" wa GSM ambaye ni mdhamini na mtendaji huko Yanga! SIMBA SC wanaweza hata kugoma kwa sababu ya hizo rangi za GSM kama alivyogoma YANGA dhidi ya rangi za NBC!Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Kama walivyofanya Yanga kwa kusingizia mabadiliko ya muda wa kuanza mechi!Wanangu wa simba I feel for you, kesho msije uwanjani kabisa coz kuna mabango ya GSM ya kufa mtu
Naona mmepata sababu ya kuikimbia hii mechi ila ndo mnaruka mikojo na kukanyaga mavi