Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
Vilabu vya Bongo vinaendekeza sana Itikadi.
Simba kukataa nembo ya GSM ni kama Yanga walivyokataa rangi ya Nembo ya NBC. Ni sababu zisizo na mashiko.
Kama hivi vitu hawataki ni suala la kubadilisha taratibu, sheria na kanuni walizojiwekea..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app