Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Kwakuwa kuna timu ndogo ndio Uweke nembo kwa udhamini wa million 3 kwa mwezi?
Inaingia akilini hiyo?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Hakuna Sheria inasema mdhamini mwenza lazima Logo yake ikae kwenye Jezi.

Halafu mikataba yote jukumu lao ni Bodi ya Ligi isipokuwa Taifa Stars

Halafu M/kiti wa kamati ya Usajili wa Yanga anadhamini vipi Ligi Kuu

Tena kumbuka huu Mkataba ni wa TFF na GSM

Hizi dosari unaziondoa namna gani, hizo Timu ndogo acha Simba SC aonyeshe njia..!
 
Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Hapa HOJA ni SSC kukubali "udhamini" wa GSM ambaye ni mdhamini na mtendaji huko Yanga! SIMBA SC wanaweza hata kugoma kwa sababu ya hizo rangi za GSM kama alivyogoma YANGA dhidi ya rangi za NBC!

Hizi ndiyo hoja siyo kuwa SSC inamzuia GSM kudhamini Ligi Kuu, LA HASHA! Mbona anadhamni Yanga, Namungo na Wagosi wa Kaya!? Hoja ni huo mkataba na vyote vilivyomo ambavyo ni SIRI KUBWA! Hii ndiyo hoja.
 
Mimi sitaki hata ku comment hapa maana unaweza kushambuliwa kuwa labda shabiki wa team fulani ila ki ukweli katika makuzi yangu nilikuwa mpenzi sana wa Simba ila siku hizi sina ushabiki wa hivyo zaidi ni Liverpool tu...
We ni utopolo mkubwa kwa akili ,ako finyu Vunja bei kaweka 1b kwa mwaka mmoja halafu huyo Gsm kaweka sijui m60 kwa kila team umtoe Vunja bei uweke hao maharamia Gsm
 
Mimi sitaki hata ku comment hapa maana unaweza kushambuliwa kuwa labda shabiki wa team fulani ila ki ukweli katika makuzi yangu nilikuwa mpenzi sana wa Simba ila siku hizi sina ushabiki wa hivyo zaidi ni Liverpool tu. Katika hili nadhani kuna mtu anadhani mkubwa kuliko wazazi mpira unaendeshwa kwa sheria na sheria lazima ziheshimiwe wako wanasheria wao ndio wanatakiwa watizame kama kuna sheria zimevunjwa watoe ushauri au tafsiri za sheria. Maana inaondoa hata ile hali ya watu kuongelea mpira watu wako busy na mambo nje ya mpira wakati mpira wetu wenyewe bado unasafari ndefu sana lakini tunajiona kama tuko level ya akina Chelsea sio huko...
Hujui kinachoendelea kati ya Simba na Tff.

Kwahiyo madai ya Simba huyajui. Pili Tff ni baba so simba akiburuzwa akae kimya.

Kwahiyo wewe unazijua sheria na kanuni za mpira wa Tanzania kuliko Simba.Na kwahiyo pale Simba wote hawajui wanachofanya.Na hakuna wanasheria pale simba.

Kwanini tu usikae kimya?

Nb:Hakuna shabiki wa Liverpool mbumbumbu km wewe. Labda Liverpool ya Tandale.
 
Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Weka hizo sheria mkuu.Ili tuone Sasa Simba Hawa a hoja.

Hizo timu hazina mishahara zilifwata nini kwenye ligi? Unataka uje kulipa mishahara ya kampuni yako kupitia mgongo wa kampuni ya mwenzio.
 
We ni utopolo mkubwa kwa akili ,ako finyu Vunja bei kaweka 1b kwa mwaka mmoja halafu huyo Gsm kaweka sijui m60 kwa kila team umtoe Vunja bei uweke hao maharamia Gsm
Je kama hiyo ndo value ya ligi kwa mdhamini mwenza?
 
Kwa swala hili mwenye kupenda kubisha...ukimaliza kubisha jiangalie chini ya makalio lazima utachafua hali ya hewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye ilo bango wanapaswa wakae wadhamini ya simba na sio wadhamini wa tff na ligi kuu. Zingatio simba ni mwenyeji wa mchezo so ana haki kutumia uwanja kama uwanja wa nyumbani.

Tff ndio chanzo cha kuharibu mpira huu
 
Ifike kipindi tuache ushabiki na tuangalie maslahi ya timu na timu nyingine. Mi ni mshabiki wa Simba lakini kwa hili siungi mkono. Tuangalie sheria zinasemaje kuhusu udhamini lakini pia maslahi ya timu yetu. Pia tusijiangalie sisi kwa kuwa tuna udhamini,tuangalie pia vitimu vidogo visivyo na wadhamini na uwezo wa kulipa mishahara Kama Biashara United,Namungo nk. Mabifu ya wahindi/ waarabu tusiyavae.
Hapa HOJA ni SSC kukubali "udhamini" wa GSM ambaye ni mdhamini na mtendaji huko Yanga! SIMBA SC wanaweza hata kugoma kwa sababu ya hizo rangi za GSM kama alivyogoma YANGA dhidi ya rangi za NBC!

Hizi ndiyo hoja siyo kuwa SSC inamzuia GSM kudhamini Ligi Kuu, LA HASHA! Mbona anadhamni Yanga, Namungo na Wagosi wa Kaya!? Hoja ni huo mkataba na vyote vilivyomo ambavyo ni SIRI KUBWA! Hii ndiyo hoja.
Wanangu wa simba I feel for you, kesho msije uwanjani kabisa coz kuna mabango ya GSM ya kufa mtu

Naona mmepata sababu ya kuikimbia hii mechi ila ndo mnaruka mikojo na kukanyaga mavi
Kama walivyofanya Yanga kwa kusingizia mabadiliko ya muda wa kuanza mechi!
 
Back
Top Bottom