Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

Unakuta Bi Mkubwa hata hana shida ila washauri wake sasa! Yaani badala ya kumshauri mambo yenye tija yeye anasoma mpaka hotuba ambazo zinamharibia kila sehemu
 
Vyama vingi sio vita na hakuna Chama kinachodai vita au vulugu,hakipo ni hofu tuu ya SM!
 
Lately naona safari za nje zimepungua πŸ˜€.

Huyo si wa kukosa UNGA. Lakini badala yake akaenda sijui Ruvuma kule 🀣.

Rais wa taifa la South Afrika 4R zimemuweka huru, amekuwa na furaha maana masuala udikteta chama cha ANC wameamua kutoyabeba kwa namna yoyote ile:

23 September 2024
New York City

Mahojiano na rais Cyril Ramaphosa kuhusu jinsi 4R zilivyoiinua imani ya wananchi na wafanyabishara ndani ya nchi na wale wawekezaji kutoka nje


JINSI CYRIL RAMAPHOSA ANAVYOTUMIA 4R ZA UKWELI, KAMA ZANA YA KUVUTIA MAENDELEO


View: https://m.youtube.com/watch?v=4gF-YkcFMFQ Kwa kujivunia kutoka moyoni bila kuwa na ulaghai wa kutumia 4R kuwezesha chama chake pekee kuwa na wabunge 100% bunge la taifa na bunge la majimbo, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa wa South Africa anajivunia jinsi ANC ilivyovuna 40 % ya kura huku chama kinachofuatia DA 21 % huku asilimia zilizobaki 39% zimegawana vyama vingine vidogo.

Kupitia 4R za ukweli nchi inaendelea kuwa na mihimili huru ya Bunge, Mahakama na vyombo vya habari.

Hali hiyo imewapa imani wawekezaji wa ndani wana imani kuwekeza zaidi ndani na pia hali hiyo inavutia wawekezaji zaidi kutoka nje.

Kutokana na kuwa na kuaminiana ndani, South Africa imekuwa mfano kwa mataifa dada jirani zilizo nchi za SADC na mbali zaidi.

4R za ukweli zisizo na hila ovu zimemuondolea rais wa South Africa kutokukosa usingizi na kuwaza kutumia majeshi ya usalama kama polisi na usalama wa taifa kuwatishia raia.

kutokana na mazingira mazuri yaliyoletwa na 4R kupitia serikali ya Umoja wa Kitaifa GNU, sana nchi ina nafasi ya kutumia viongozi wa vyama vingine vya kisiasa katika kulitumikia taifa ktk nafasi za kiuongozi na hivyo nchi kufaidika na kila raia aliye na upana wa maono bila kujali wametoka vyama vingine.

Tofauti na kama ingekuwa utawala wa kimabavu, kuzuia raia kufikia nafasi za kiuamuzi kupitia kura walizopata baada ya kuaminiwa na wapiga kura waliowacgagua katika uchaguzi ulio wazi, huru na wa haki kuanzia ngazi ya mchakato wa mikutano ya vyama vyao, kampeni hadi kutangazwa wameahinda.

Source: SABC News
 
Lissu kuongea wala siyo habari hiyo ni kawaida yake
 
Unakuta Bi Mkubwa hata hana shida ila washauri wake sasa! Yaani badala ya kumshauri mambo yenye tija yeye anasoma mpaka hotuba ambazo zinamharibia kila sehemu
Ukiwa mjinga unadhani ni nini kitatokea? Hii ni kawaida sana. Hata mtu akipata fedha ghafla hupata wapambe wengi ''wanaomshauri'' mambo ya kijinga ili tu wanufaike. Samia amelewa madaraka chakari na siku atajua watu wanamdharau ni siku atakapokuwa hana hicho cheo. Sijui ni kwa nini hakujifunza kutoka kwa Magufuli.
 
Wanaomzunguka ndo wanamchoma Bi Mkubwa
 
Mkuu usije kujaribu kuniteka mimi utakula ngumi nyingi halafu siogopi kufa na mkanda mweusi ninao 😁😁😁
 
Mwafrika ni lazima apewe mipaka vinginevyo vichaa kama akina Lissu wanaweza leta shida kubwa
 
Japo Siipendi hii Serikal
Lakin hiyo Redio haijawahi kuwa na jema
 
Hata utumie lugha gani ndugu Richard, watetezi wa CCM na sera zao zinazotekelezwa na serikali yao, watu wa dizaini ya Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa au Joseph Ludovick na wanaofanana na hawa hawawawezi ku - admit makosa yao wala ku - aknowledge chochote kizuri nje ya wao wenyewe...

Lakini ukweli ni kuwa, they know exactly kuwa kuna shida kubwa ktk sera na mipango yote ya serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM....

They know exactly kuwa, serikali yao imeshindwa pakubwa kujibu matamanio na matarajio ya wananchi....

They know exactly kuwa, wananchi wanajua kushindwa kwao na wanataka waachie ngazi na tupate serikali nyingine mpya (ikibidi nje kabisa na mfumo na utaratibu wa ki - CCM), yenye mwelekeo mpya, sera mpya, mipango mipya na mfumo mpya wa kujitawala na kuisimamia nchi yetu hii....

NA KWA KUWA WANAUFAHAMU udhaifu huu, wanatumia mbinu chakavu za ki - totalitarianism style of leadership kubaki ktk madaraka yao, ku - intimidate wanaohoji, kupinga au kukosoa mipango ya serikali na viongozi wao kwa kuwateka, kutesa, kupoteza na kuwaua...

Ndio maana viongozi wengi wa serikali chini ya CCM ni kama wote wamechanganyikiwa (confused)....

Na unaweza kuthibitisha hili kwa kauli na matendo yao ya ajabu kabisa. They totally in desperation and frustration kwa sababu mbele yao wanakokwenda hawaioni nuru, wanaona giza nene ishara ya mwisho wao na wanadhani wakiwa harsh & brutal kwa namna ile, nuru itawafungukia na wanaweza kuendeleza upuuzi wao huu unaoendelea sass....

Mimi nasema, NO WAY..... THEIR END IS NOW....!
 
maandamano tu mnasalitiana?

kuna kitu mnaweza kukifanya kweli zaidi ya kushindwa mambo yenu wenyewe, kulalamika na kulalamikiana ninyi kwa ninyi 🀣

Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu madhubuti, makini na ambae sote kama nchi tunampenda sana, tunamuamini na kwakweli ni kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan, itaendelea kufanya kazi kwa bidii na weledi mkubwa sana na kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo na kufurahia matunda ya CCM bila mbambamba ya mtu yeyote popote humu nchini πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…