mambo ya uposhaji, mambo ya kuzua taharuki, na mambo mengine yoyote yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania hayatavumiliwa hata sekunde moja, kuchuliwa hatua na serikali imara na sikivu sana ya CCM, chini ya kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
iko wazi, na kwakweli ifahamike zaidi duniani kote kwamba,
Tanzanian government has zero tolerance when it comes to the issue of peace and unit of it's citizens..
umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote, bila kujali wala kubabaika eti sijui nani huko anatafuta huruma DW[emoji1787]
kana kwamba wao hawana mambo yanayowahusu wananchi wao, eti wamuonee huruma mtu ambae ni kulalamika day and night. Na actually anatia Huruma atasaidiwa tu..
but ni useless and completely nonsense, kama unashida omba tu utasaidiwa usilalamike sana [emoji205]