Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
But how?So back sliding.
Mama ni mpole. Hafokei watu. Hatumbui watu hadharani. Ana upendo.
So what’s the beef?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But how?So back sliding.
She is a smooth operator. She acts and execute her stuff differently.But how?
Mama ni mpole. Hafokei watu. Hatumbui watu hadharani. Ana upendo.
So what’s the beef?
sio siri na wala sio uongo mambo hayo ni kawaida tu,Ila Mkuu tafwadhali.
Yaani kumkosakosa mtu kwa risasi 16 na sasa watu wapotea (na imethibitishwa walipigiwa simu na polisi), wasionekana miezi miwili na mwingine kutupwa porini na polisi li aliwe na mafisi weye waona na mambo ya kawaida kabisa.
To sum up all basi lilimamishwe mtu ateremshwe kwa nguvu na kupelekwa kusojulikana kisha apatikane maiti, kweli?
Kisha raisi wetu asimame majukwani aseme hayo ni mambo ya kawaida watu hufa tu!
C'mon man!
Mkuu, nina imani umesoma hivyo tuongee kama watu wenye elimu tulokalia darasani na tuongee tukitumia uwezo wa kielimu.sio siri na wala sio uongo mambo hayo ni kawaida tu,
achilia mbali Africa Mashariki, bali pia Africa na dunia nzima mambo hayo yapo na yanatokea kila uchwao kwasabab mbalimbali...
what is so special eti ukalalamikie BBC au DW ili uonekane umeongea jambo jipya la maana saaanaa? au kwa vile ulipigwa risasi na ukasaive hali ya kua Marais na mawaziri wakuu wa nchi mbalimbali duniani waliuawa kwa risasi pia...
kipi ni kipya hasa kiasi kwamba eti huyo mungwana apewe tension eti sijui na nchi gani wakati huko nako ni yale yale. By the way who is DW to Tz government 🐒
vipi alie nusurika pekeyake kwenye ajali ya ndege iliyo ua watu zaidi ya 200, akabaki pekee? Nae akatafute huruma au tension? au asingizie Russia na Ukraine au shirika la ndege husika?
kumbe majeraha na majeruhi saa zingine ni mtaji eeh 🐒
politics is life,Tatizo kubwa nyie vibosile mnachulia political leadership ni kazi ya maisha hamna kazi nyingine ya kufanya. Kwenye leadership lazima atokee mtu mwenye uwezo, wito na watu hao wagombee na kupambanishwa kwa hoja.
Kiukweli mmeteka population ya millioni 60 inapata taabu kwa sababu yenu nyie mtahukumiwa siku hiyo itakapofika
Mnaua mnateka na mnatesa kwa kusingizia amani
Hii Dw si ndio walitumia picha za mwaka 2020 kusema mbowe amesitisha maandamano bado ni wa kuaminiwa tu?Mungu Wabariki Wazungu
eti public figure 🤣Mkuu, nai imani umesoma hivyo tuongee kama watu wenye elimu tulokalia darasani na tuongee tukitumia uwezo wa kielimu.
Hapa nilipo mtu akifanyiwa unyama ulofanywa kwa mzee huyu polisi hutumia masaa 24 kuwapata wahusika, kulikamata basi na abiria wake kutafutwa au kuombwa watoe taarifa.
Eneo lilipofanyika tukio pangewekwa cordon kwa ajili ya kukusanya evidence.
Hiyo ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha integrity yake ipo intact,
Kuhusu Tundu Lissu yeye pia ni public figure kama alivyo raisi Samia ingawa yeye yupo kwenye upinzani lakini bado ni public figure ambae anastahiki international forums and platforms. Hivyo DW ni international news organisation na ina hadhi kama zilivyo international news organisations zingine.
Kukoswakosawa kwa risasi si jambo la kawaida laweza pia kuwa hata limemuathiri kisaikolojia for the rest of his life na watu wa aina hii siku akipata nafasi ya kulipa ndo atumia academic credential zake kufungua kesi katika international platforms.
Hawa DW wakitaka ufafanuzi msiogope jitokezeni kwa ujasiri ili mrekebishe pale ambapo panaharibika khasa reputation ya utawala, usidharau hii. Mimi ni diplomat na nazungumza lugha ya chini ili unielewe.
Hivyo hilo likisumbue sana wala lisiisumbue serikali lakini ni lazima wakati huohuo serikali iamke na kutambua kuwa haya mambo yanakuwa recorded for future reference.
1. Tundu Lissu ni public figure elewa hivyo.eti public figure 🤣
DW na hata hao media wengine Tanzania inawahusu nini kama Taifa? wako free kufanya kazi zao bila kukiuka sheria za nchi yetu na misingi ya kazi zao. Na kama Taifa mambo yetu yote yanafanyika na kuendeshwa kwa mujibu wa sheria, na wala sio kwa muhemko ya Fulani, hisia, huruma au au kwasababu fulani kasema DW 🤣
Infact,
Mwenye ushahidi kuhusu jambo lolote la kihalifu nchini, yafaa awasilishe kwenye vyombo husika, na kama hana ni vizuri zaidi kukaa kimya kuliko kumbwelambwela pasipo sababu ya msingi 🐒
DW naskiza kila siku, ingawa last time ilikua ni siku moja kabla ya yale maandamano haramu ya chadema yaliyopigwa marufuku na polisi..1. Tundu Lissu ni public figure elewa hivyo.
2. Unaiponda DW kwasababu tayari vyombo vya habari vya Tanzania mmevibana na mfano ni gazeti la The Citizen mmelifungia kisa tuwametoa katuni inomuonyesha raisi, kwani tatizo ni nini?
3. Sasa wasema mwenye ushahidi apeleke kwenye vyombo husika sasa wananchi watapeka vipi watapa vipio ushahidi endapo polisi haohao ndo wamiliki wa ushihidi?
Anyway my friend, naona hapa tutapoteza muda ila naamini nimekupa mawili matatu.
Ila nakushauri, mjaribu kujibu hoja za hawa jamaa huko international media itawasaidia sana.
DW hawana moral authority kwe uhuru wa Habari ! EU ikiwemo Germany wamefungia Vyombo vya habari vya Russia , RT na Sputnik News kisa Vyombo hivyo vinafichua ukweli kuhusu malengo ovu dhidi ya raia wa EU na ulimwengu kwa ujumla!!! Je. Hiyo ni kuonyesha uhuru wa Habari?Sasa ni zamu ya DW.
DW naskiza kila siku, ingawa last time ilikua ni siku moja kabla ya yale maandamano haramu ya chadema yaliyopigwa marufuku na polisi..
walitangaza kwamba chairman wa chadema kasitisha maandamano, na mimi nikaandika mpaka uzi humu jukwaani, nilipompigia rafiki yangu wa chadema naibu katibu mkuu bara akaniambia ni waongo maandamano yako pale pale ila yeye hatashiriki alikua mgonjwa... So kwa kiasi ni wapotoshaji..
Ni vyema inafahamika bayana,
chombo chochote cha habari kinachofanya kazi Tanzania kina uhuru na haki ya kufanya hivyo bila tashwishwi yoyote ila kinawajibika kuzingatia Sheria na katiba ya nchi.
Kinyume na hapo, chombo hicho cha kitawajibishwa ipasavyo bila mbambamba yoyote..
ikiwa hutaki kuwasilisha ushahidi wa kihalifu mahali panapohusika kwasasababu ya imani yako haba na potofu juu ya vyombo imara sana vinavyohusika, unambwelambwela nini sasa?. Si ubaki na ushirikina wako huko 🐒
ndiyo,Mimi siamini katika ushirikina.
Au mkuu weye ndo mbobezi? maana umekuja na hilo neno nje ya topic.
Nadhani kuna tofauti kati ya serikali kuvifungia vyombo vya habari vya ndani na serikali kuvifungia vyombo vya habari vya adui kutoka nje.DW hawana moral authority kwe uhuru wa Habari ! EU ikiwemo Germany wamefungia Vyombo vya habari vya Russia , RT na Sputnik News kisa Vyombo hivyo vinafichua ukweli kuhusu malengo ovu dhidi ya raia wa EU na ulimwengu kwa ujumla!!! Je. Hiyo ni kuonyesha uhuru wa Habari?
SASA HIVI WASEMAJI NA WATETEZI WA SERIKALI YA KIHUNI YA MJALAANA SAMIA WAMEKUWA NI HAWA RAIA FEKI WENZAKE ....NCHI IPO MIKONONI MWA RAIA FEKImambo ya uposhaji, mambo ya kuzua taharuki, na mambo mengine yoyote yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania hayatavumiliwa hata sekunde moja, kuchuliwa hatua na serikali imara na sikivu sana ya CCM, chini ya kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
iko wazi, na kwakweli ifahamike zaidi duniani kote kwamba,
Tanzanian government has zero tolerance when it comes to the issue of peace and unit of it's citizens..
umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote, bila kujali wala kubabaika eti sijui nani huko anatafuta huruma DW🤣
kana kwamba wao hawana mambo yanayowahusu wananchi wao, eti wamuonee huruma mtu ambae ni kulalamika day and night. Na actually anatia Huruma atasaidiwa tu..
but ni useless and completely nonsense, kama unashida omba tu utasaidiwa usilalamike sana 🐒
The government's spokes person ran away 🤣🤣😂Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na mauaji ya wapinzani wa kisiasa. The Citizen, moja ya magazeti yenye ushawishi mkubwa kwa lugha ya Kiingereza, ilisema machapisho yake ya mtandaoni yamesitishwa kwa siku 30 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Moja ya matangazo yaliyotolewa mtandaoni mapema wiki hii na The Citizen lilimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiangalia habari za wapinzani na waathirika wa ukandamizaji wa serikali.
Wakati huohuo, upinzani unaituhumu serikali kwa kukandamiza uhuru wa kutoa maoni. Mmoja wa viongozi wakuu, Tundu Lissu, anaishtaki serikali. Anasema Rais Samia Suluhu Hassan anarejea kwenye mienendo ya kiimla ya John Magufuli.
================
In Tanzania, the government has suspended the online operations of a leading newspaper. This, after it released advertising clips featuring the president and referencing recent abductions and killings of dissidents. The Citizen, one of the most influential English-language papers, said its online publications had been suspended for 30 days by the Tanzania Communications Regulatory Authority. One of the clips released online earlier this week by The Citizen showed President Samia Suluhu Hassan watching news clips of dissidents and victims of state repression.Meanwhile, the opposition is accusing the government of cracking down on criticism. One of the leading figures, Tundu Lissu, is suing the government. He says President Samia Suluhu Hassan is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.
CCM nzima ya sasa ni watu wachache sana wanaoweza kukabiliana na media za kimataifa.The government's spokes person ran away 🤣🤣😂
UKiona mtu anatetea uovu ujue kuna maslahi fulani anapata na kwa asilimia kubwa hili huwa linasababishwa na njaaIla Mkuu tafwadhali.
Yaani kumkosakosa mtu kwa risasi 16 na sasa watu wapotea (na imethibitishwa walipigiwa simu na polisi), wasionekana miezi miwili na mwingine kutupwa porini na polisi li aliwe na mafisi weye waona na mambo ya kawaida kabisa.
To sum up all basi lilimamishwe mtu ateremshwe kwa nguvu na kupelekwa kusojulikana kisha apatikane maiti, kweli?
Kisha raisi wetu asimame majukwani aseme hayo ni mambo ya kawaida watu hufa tu!
C'mon man!
🤣🤣🤣 Serikali imejaa vilaza of the highest rank.CCM nzima ya sasa ni watu wachache sana wanaoweza kukabiliana na media za kimataifa.
Samia hawezi.
Nchimbi ndo bure kabisa.
Wewe Huwa ni bumunda!mambo ya uposhaji, mambo ya kuzua taharuki, na mambo mengine yoyote yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania hayatavumiliwa hata sekunde moja, kuchuliwa hatua na serikali imara na sikivu sana ya CCM, chini ya kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
iko wazi, na kwakweli ifahamike zaidi duniani kote kwamba,
Tanzanian government has zero tolerance when it comes to the issue of peace and unit of it's citizens..
umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote, bila kujali wala kubabaika eti sijui nani huko anatafuta huruma DW🤣
kana kwamba wao hawana mambo yanayowahusu wananchi wao, eti wamuonee huruma mtu ambae ni kulalamika day and night. Na actually anatia Huruma atasaidiwa tu..
but ni useless and completely nonsense, kama unashida omba tu utasaidiwa usilalamike sana 🐒
Hawajawahi kutusifiaInajizolea Sifa Mbaya