Special guest siyo mgeni rasmi. Bali ni mgeni maalum. Ambaye kwa umaarufu wake yawezekana ni kwenda kuchekesha.Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha barua kuomba mtu fulani awe mtu muhimu kwtika mahafali.
Yaani kifupi mgeni rasmi anapaswa kuwa kielelezo cha mafanikio ya kitaaluma, uadilifu, na mchango chanya kwa jamii—mtu ambaye hadithi yake inaweza kuwasha taa ya matumaini na nidhamu kwa vijana wanaohitimu.
View attachment 3572750
Sasa ni jambo la ajabu na lenye kusikitisha kuona baadhi ya taasisi za elimu zikiyumbisha mizani hii kwa kuweka mbele umaarufu wa burudani badala ya hekima na uzoefu. Wahitimu wanahitaji kusikia sauti ya mtu aliyepitia changamoto za maisha, akajenga misingi imara ya taaluma na uongozi. Vijana wetu wanahitaji mawaidha yanayogusa mustakabali wao—sio tu vichekesho vinavyopita haraka kama upepo.
View attachment 3572751
Nimeshangaa sana kuona Shule kubwa kama Pugu kuweka wazi ya kwamba Mpoki anakwenda kuwa Mgeni ramsi wa Mahafali yao ya 55, serious kabsa. Uongozi wa shule mmefeli pakubwa sana. Tanzania kuna watu wengi sana ambao wanaweza kusimama na kuzungumza na wahitimu mambo ya msingi kuliko vituko na jokes za ajabu.
View attachment 3572752
Kwa historia ya shule ya Pugu nadhani hii ni kali ya mwaka kwa hakika! Na ipo siku kama hii tabia viongozi wataiona kama ni mtindo mzuri..
View attachment 3572754
Ipo siku utasikia Chumvi Nyingi* ni mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya sekondari Minaki, huku Mama Shea ama Giggy Money amekuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya wasichana Jangwani.
View attachment 3572753
Kuchagua mgeni rasmi asiyeendana na muktadha wa kitaaluma kunaweza kupotosha vipaumbele vya vijana na kudhoofisha hadhi ya taasisi yenyewe. Kwa hili mmefeli pakubwa sana.
Mfano cheti chako ni division 3, ujio wa mgeni rasmi mbobezi au mtu mwenye cheo kikubwa katika mahafali yako yatabadilisha nini katika matokeo/cheti chako?Mgeni rasmi hapaswi kuwa yoyote bali anapaswa kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa katika tasnia fulani au uongozi ambaye atawa inspire wahitimu kwa hatua zitakazofuata za elimu yao au kazi baadaye na inakuwa vizuri zaidi kama alisoma hiyo shule au chuo(alumni).
Vijana siwanaaandaliwa na kina makonda kuwa content creators ilinkuwapumbaza na maujinga ya ccm...Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha barua kuomba mtu fulani awe mtu muhimu kwtika mahafali.
Yaani kifupi mgeni rasmi anapaswa kuwa kielelezo cha mafanikio ya kitaaluma, uadilifu, na mchango chanya kwa jamii—mtu ambaye hadithi yake inaweza kuwasha taa ya matumaini na nidhamu kwa vijana wanaohitimu.
View attachment 3572750
Sasa ni jambo la ajabu na lenye kusikitisha kuona baadhi ya taasisi za elimu zikiyumbisha mizani hii kwa kuweka mbele umaarufu wa burudani badala ya hekima na uzoefu. Wahitimu wanahitaji kusikia sauti ya mtu aliyepitia changamoto za maisha, akajenga misingi imara ya taaluma na uongozi. Vijana wetu wanahitaji mawaidha yanayogusa mustakabali wao—sio tu vichekesho vinavyopita haraka kama upepo.
View attachment 3572751
Nimeshangaa sana kuona Shule kubwa kama Pugu kuweka wazi ya kwamba Mpoki anakwenda kuwa Mgeni ramsi wa Mahafali yao ya 55, serious kabsa. Uongozi wa shule mmefeli pakubwa sana. Tanzania kuna watu wengi sana ambao wanaweza kusimama na kuzungumza na wahitimu mambo ya msingi kuliko vituko na jokes za ajabu.
View attachment 3572752
Kwa historia ya shule ya Pugu nadhani hii ni kali ya mwaka kwa hakika! Na ipo siku kama hii tabia viongozi wataiona kama ni mtindo mzuri..
View attachment 3572754
Ipo siku utasikia Chumvi Nyingi* ni mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya sekondari Minaki, huku Mama Shea ama Giggy Money amekuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya wasichana Jangwani.
View attachment 3572753
Kuchagua mgeni rasmi asiyeendana na muktadha wa kitaaluma kunaweza kupotosha vipaumbele vya vijana na kudhoofisha hadhi ya taasisi yenyewe. Kwa hili mmefeli pakubwa sana.
Vijana siwanaaandaliwa na kina makonda kuwa content creators ilinkuwapumbaza na maujinga ya ccm...Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha barua kuomba mtu fulani awe mtu muhimu kwtika mahafali.
Yaani kifupi mgeni rasmi anapaswa kuwa kielelezo cha mafanikio ya kitaaluma, uadilifu, na mchango chanya kwa jamii—mtu ambaye hadithi yake inaweza kuwasha taa ya matumaini na nidhamu kwa vijana wanaohitimu.
View attachment 3572750
Sasa ni jambo la ajabu na lenye kusikitisha kuona baadhi ya taasisi za elimu zikiyumbisha mizani hii kwa kuweka mbele umaarufu wa burudani badala ya hekima na uzoefu. Wahitimu wanahitaji kusikia sauti ya mtu aliyepitia changamoto za maisha, akajenga misingi imara ya taaluma na uongozi. Vijana wetu wanahitaji mawaidha yanayogusa mustakabali wao—sio tu vichekesho vinavyopita haraka kama upepo.
View attachment 3572751
Nimeshangaa sana kuona Shule kubwa kama Pugu kuweka wazi ya kwamba Mpoki anakwenda kuwa Mgeni ramsi wa Mahafali yao ya 55, serious kabsa. Uongozi wa shule mmefeli pakubwa sana. Tanzania kuna watu wengi sana ambao wanaweza kusimama na kuzungumza na wahitimu mambo ya msingi kuliko vituko na jokes za ajabu.
View attachment 3572752
Kwa historia ya shule ya Pugu nadhani hii ni kali ya mwaka kwa hakika! Na ipo siku kama hii tabia viongozi wataiona kama ni mtindo mzuri..
View attachment 3572754
Ipo siku utasikia Chumvi Nyingi* ni mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya sekondari Minaki, huku Mama Shea ama Giggy Money amekuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya wasichana Jangwani.
View attachment 3572753
Kuchagua mgeni rasmi asiyeendana na muktadha wa kitaaluma kunaweza kupotosha vipaumbele vya vijana na kudhoofisha hadhi ya taasisi yenyewe. Kwa hili mmefeli pakubwa sana.
Mpoki ana shida gani? Hao wa maana ni kina nani na wametatua nini nchi hii? Binafsi sioni tatizo mtu aliyefanikiwa kwenye comedy kuwa mgeni rasmi! Au unataka wauaji wa 29 October?