Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano.

Kwa muda wa Saa 1 Usiku hadi Saa 3 Usiku huwa ni kwa Siku zozote zile na mara nyingi Simba SC huwa akicheza muda huu si tu kuwa huwa anashinda bali pia hushinda kwa Kishindo ( Ushindi Mnono )

Wazee wa Kazi ( Fitna, Uchawi na Roho Mbaya ) tulishaanza Kuicheza Mechi hii Kitambo hasa tukijua kuwa muda utakuwa ni ule ule wa Jini letu Simba SC kufurahi na kufanya Kazi kati ya Saa 1 Usiku na Saa 3 Usiku mara tena ghafla Jana tunasikia Mechi itachezwa Saa 4 Usiku ambayo itaisha karibia na Saa 6 Usiku muda ambao hata Kinyota ( Kinujumu ) ni mbaya na Jini letu nalo linakuwa limeshaondoka na halina Nguvu tena.

Kosa kubwa sana limefanyika hapa na binafsi kama GENTAMYCINE nimesikitika mno kwani sasa inatulazimu tuanze Kazi upya, tulazimishe Ushindi hata kwa Kufanya Makafara Makubwa na ya Kushtua ili Ushindi upatikane hasa kwa muda huo mpya wa Saa 4 Usiku mpaka Saa 6 Kasoro 10 au Kasoro 5 hivi.

Tukishinda kwa huo muda nitashukuru pia na kufurahi kama mwana Simba SC kwa Kuingia Robo Fainali ya CAFCC ila nisifiche wala kuwa Mnafiki kwa Uzoefu wangu wa hii Michezo na haya Masuala matokeo ni 50 / 50 na Uwezekano wa Kulia na Kutoamini Matokeo tutakayoyapata ni mkubwa tena kwa 85%.

Aliyebadili huo muda ametusaliti mno!!
 
Ni maelekezo ya CAF
 
Simba acheze asubuhi, mchana,Adhuhuri, jioni, au usiku mnene kipogo kiko palepale: Simba 0-3 USGN
 
Kwaiyo mmepigwa chenga ya mwili na caf sio, vp lile kafara lenu mlilolifanya lilikuwa limechagua muda wa kucheza? Dunia inayo maajabu hii, badala ya kuandaa timu kiufundi nyie mmebaki kutegemea makafara ndo mshinde mechi???
 
Vipi wale Galaxy mlicheza nao saa 8??😀😀 Popoma unataka kujivua lawama baada yakuona mambo yanaenda mlama huku kuku zinaozaaa tu😀😆🚶
 
Toa pumba zako hapa. Umekosa hata uelewa mdogo tu kuwa mechi za mwisho huchezwa katika muda sawia ili kuepuka upangaji wa matokeo?
Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano.

Kwa muda wa Saa 1 Usiku hadi Saa 3 Usiku huwa ni kwa Siku zozote zile na mara nyingi Simba SC huwa akicheza muda huu si tu kuwa huwa anashinda bali pia hushinda kwa Kishindo ( Ushindi Mnono )

Wazee wa Kazi ( Fitna, Uchawi na Roho Mbaya ) tulishaanza Kuicheza Mechi hii Kitambo hasa tukijua kuwa muda utakuwa ni ule ule wa Jini letu Simba SC kufurahi na kufanya Kazi kati ya Saa 1 Usiku na Saa 3 Usiku mara tena ghafla Jana tunasikia Mechi itachezwa Saa 4 Usiku ambayo itaisha karibia na Saa 6 Usiku muda ambao hata Kinyota ( Kinujumu ) ni mbaya na Jini letu nalo linakuwa limeshaondoka na halina Nguvu tena.

Kosa kubwa sana limefanyika hapa na binafsi kama GENTAMYCINE nimesikitika mno kwani sasa inatulazimu tuanze Kazi upya, tulazimishe Ushindi hata kwa Kufanya Makafara Makubwa na ya Kushtua ili Ushindi upatikane hasa kwa muda huo mpya wa Saa 4 Usiku mpaka Saa 6 Kasoro 10 au Kasoro 5 hivi.

Tukishinda kwa huo muda nitashukuru pia na kufurahi kama mwana Simba SC kwa Kuingia Robo Fainali ya CAFCC ila nisifiche wala kuwa Mnafiki kwa Uzoefu wangu wa hii Michezo na haya Masuala matokeo ni 50 / 50 na Uwezekano wa Kulia na Kutoamini Matokeo tutakayoyapata ni mkubwa tena kwa 85%.

Aliyebadili huo muda ametusaliti mno!
 
Mechi za mwisho mara nyingi zinachezwa muda mmoja ili kuepusha kupanga matokeo ya kwenye group kumbeba unaemtaka.

Shida muda mmoja ambao caf umeupanga ambao ni mapema nchi zingine but Tanzania muda huo huo ni saa 4 usiku
 
Back
Top Bottom