mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Huoni ulozi subiri ligi ianze ligi haina mwenyeweUpepo bado upo sana Yanga sio "ulikuwa" umetumia past tense Mkuu, tumeanza na kuzoa tuzo, kisha tunafumua kolo mshono derby ya kariakoo, then kazi inaanza upya kusaka tuzo za mwakani. Hadi mwaka 2050 Mzee Magoma akichukua mikoba ya Eng Hersi, simba tutahakikisha inapendeza champions league!!