Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

Upepo bado upo sana Yanga sio "ulikuwa" umetumia past tense Mkuu, tumeanza na kuzoa tuzo, kisha tunafumua kolo mshono derby ya kariakoo, then kazi inaanza upya kusaka tuzo za mwakani. Hadi mwaka 2050 Mzee Magoma akichukua mikoba ya Eng Hersi, simba tutahakikisha inapendeza champions league!!
Huoni ulozi subiri ligi ianze ligi haina mwenyewe
 
Upepo bado upo sana Yanga sio "ulikuwa" umetumia past tense Mkuu, tumeanza na kuzoa tuzo, kisha tunafumua kolo mshono derby ya kariakoo, then kazi inaanza upya kusaka tuzo za mwakani kwa kupiga makonzi kila anaejaa kwenye 18 za uto, hadi mwaka 2050 Mzee Magoma akichukua timu yake, simba tutahakikisha inapendeza huko champions league!!
Inaruhusiwa Kuota 🙄
 
Mpira wa bongo umevamiwa na uchawa wa ajabu sana ili watu wapate kiki wakijua una washabiki wengi sana
 
Mpira wa bongo umevamiwa na uchawa wa ajabu sana ili watu wapate kiki wakijua una washabiki wengi sana
Sikiliza maelezo ya Ahmed Leo kuhusu Dula Makabila ndio utajua wasanii wanapiga pesa Hali kadhalika uchawa.
 
Back
Top Bottom