GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Watu jana walivaa Jezi za Simba SC wakaenda Mazoezini na baada ya Mechi wananyofoa Nyasi na Kuchota Mchanga.Mpira wa kibongo ukileta sana mambo ya kiuweledi hutoboi. Mpira wetu unachezwa sana nje ya uwanje. Wanachokifanya Simba ni hatari sana. Wezetu Yanga bado hawajacha utamaduni wa dabi ila sisi Simba tunaleta mambo ya ukisasa.
Kwasasa Simba hatuna wale viongozi mafia, waliopo ni wale ambao usajili ukisha na kambi ya timu ipo vizuri wanahisi wamemaliza.Kuna Watu jana walivaa Jezi za Simba SC wakaenda Mazoezini na baada ya Mechi wananyofoa Nyasi na Kuchota Mchanga.
Tumekwisha....!!!!