Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

Mpira wa kibongo ukileta sana mambo ya kiuweledi hutoboi. Mpira wetu unachezwa sana nje ya uwanje. Wanachokifanya Simba ni hatari sana. Wezetu Yanga bado hawajacha utamaduni wa dabi ila sisi Simba tunaleta mambo ya ukisasa.
 
Kuna Watu jana walivaa Jezi za Simba SC wakaenda Mazoezini na baada ya Mechi wananyofoa Nyasi na Kuchota Mchanga.

Tumekwisha....!!!!!!
 
Kuna Watu jana walivaa Jezi za Simba SC wakaenda Mazoezini na baada ya Mechi wananyofoa Nyasi na Kuchota Mchanga.

Tumekwisha....!!!!
Kwasasa Simba hatuna wale viongozi mafia, waliopo ni wale ambao usajili ukisha na kambi ya timu ipo vizuri wanahisi wamemaliza.
Jiulize, kwanini Yanga hata kama wakiwa na timu nzuri vipi ila kwenye dabi wataingilia mlango ambao hauruhusiwi ila viongozi wa Simba wanaipeleka timu kama vile wanaenda kucheza na Tukuyu fc.
 
Back
Top Bottom