Uongozi wa Yanga, mnapotaka twende ndiyo tunapataka

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk. Yaani mchezaji anafunga goli la mkono halafu anaenda kuwa Man of the Match, we umesikia waaapi?
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk.

9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Nimezingatia matumizi ya neno hili, TUTAFUFUA. Uwepo wa ili neno maana yake, USHAHIDI MNAO, lakini inashangaza kwamba pamoja na kuwa na ushahidi, bado hadi sasa hamjawahi kwenda popote au kwenye chombo chochote kuthibitisha hayo uliyoyaandika. Hii inaonyesha mmeshikwa pabaya, mmeanza kuweweseka...!!! Haiwezekani, tukio la juzi, eti ndo lilifufue unayodhani yalitokea kabla ya mechi ya tarehe 5 November 2023..!!!
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk.
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Yaani kumbe ushahidi mnao si mgepeleka huu basi iwe sababu ya kugomea.mechi. Badala ya huo.mliopeleka usio na kichwa wala.miguu eti mechi ipangiwe siku nyingine.
 
Hawa wana dhambi kubwa tatu
1. Wana damu za ushari na sasa zimechanganyika na upofu wa wafuasi, tanzania haijawahi na kamwe haitawahi kutikiswa kirahisi
2. Wana dhambi yw ufisadi na kukwepa kodi hivyo emwana ukwasi mkubwa sana na kila dalili ya kuonyesha kwamba wameweka kiganjani baadhi ya wakubwa - hii itafumua wasiyotegemea
3. Wameshindwa kula na kipofu

Muda utaongea
 
Kanuni ya 16 (1) 1.10 ni hii hapa chini
1741590544547.png

Sema, kipi kimevunjwa kwenye kanuni hii?

TUTATAFUA NYINGINE ZAKO ZOTE NI UMBUMBUMBU MTUPU..!!
 
Hawa wanandhamni kubwa tatu
1. Wana damu za ushari na sasa zimechanganyika na upofu wa wafuasi, tanzania haijawahi na kamwe haitawahi kutikiswa kirahisi
2. Wana dhambi yw ufisadi na kukwepa kodi hivyo emwana ukwasi mkubwa sana na kila dalili ya kuonyesha kwamba wameweka kiganjani baadhi ya wakubwa - hii itafumua wasiyotegemea
3. Wameshindwa kula na kipofu

Muda utaongea
Muda ushaongea Ndiyo maana umetanguliza hizo sababu 3 za kuanzia
 
Hawa wanandhamni kubwa tatu
1. Wana damu za ushari na sasa zimechanganyika na upofu wa wafuasi, tanzania haijawahi na kamwe haitawahi kutikiswa kirahisi
2. Wana dhambi yw ufisadi na kukwepa kodi hivyo emwana ukwasi mkubwa sana na kila dalili ya kuonyesha kwamba wameweka kiganjani baadhi ya wakubwa - hii itafumua wasiyotegemea
3. Wameshindwa kula na kipofu

Muda utaongea
Hivi mwandiko huu... Hawa wanandhamni kubwa tatu... Ulitaka tuelewe nini?
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk.
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
TFF ikisema awaoneshe Yanga sura halisi ya mpira ilivyopaswa kuwa Yanga ataomba poo chap.
Klabu hii imeendekezwa sana ndiyo maana ina mambo ya hovyo sana na inajiona ipo juu ya sheria.
 
Mtalinywa ninyi mnaodai point 3 kwenye mechi iliyopigwa kalenda.Mmeingia hasara ya maandalizi na hasara mtapata zaidi 😂
Mbona mnachelewa? Wewe uitishe Yanga????? Kafufueni hata ya mwaka 1950. Hatujali na hatutishiki. Mfanye uhuni kwenye soka, halafu mnataka tuwafate kama kondoo, mlioenda nao usiku Taifa thubutu. Mmelikoroga lazima mlinywe.
 
Mama Alikuwa Chuga Ile Siku,,Na Unajua Huu Ni Msimu Pendwa Yalifanyika Yale Ili Ipangwe Wakti Na Siku Nyingine Ili Na Mama Nae Awepo Ili Mambo Yaweze Kwenda Sawa,,Wala Hakuna Lilitokea Kwa Bahati Mbaya Yale Ni Makusudi Yaliyopangwa Vyema Nyuma Ya Camera
 
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.

Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama.
1. Tutafufua udhamini usio halali wa Mfadhili, Mdhamini na anayeonekana kama Mmiliki asiye rasmi wa Klabu ya Yanga kwa vilabu vingine kadhaa vya ligi ya NBC, kampuni ya GSM, na jinsi udhamini huo umeleta viashiria vya upangaji wa matokeo kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
2. Tutafufua jinsi mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anavyohusika kuvidhoofisha vilabu vinavyotoa ushindani kwa Yanga kwa kuvinunua na kuvivuruga kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
3. Tutafufua mgongano wa maslahi uliopo kati ya Yanga na timu ya Dodoma Jiji na jinsi mgongano huo unavyoinufaisha Yanga.
4. Tutafufua jinsi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, anayejulikana na aliyejitambulisha wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga alivyojaribu kutumia vibaya madaraka yake ya kisiasa kuingilia masuala ya soka kwa nia ya kuifaidisha Yanga.
5. Tutafufua tuhuma za utumiaji madawa ya kuongeza nguvu zinayowakabili baadhi ya wachezaji wenu.
6. Tutafufua tuhuma za kuwatumia waamuzi kuwapa maamuzi ya kuwapendelea timu ya Yanga bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua zozote. Kuanzia magoli ya mikono, penati zinazotokana na faulo za nje ya box, penati za Kibu kwenye derby ya kwanza, nk.
7. Tutafufua rushwa iliyotumika kwenye derby ya November 5, 2023 kwa nia ya kuinufaisha Yanga. Msione tulikaa kimya, vithibitisho tunavyo na hamchomoki kwenye hili.
8. Tutafufua jinsi klabu inayomilikiwa na mmoja wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga ilivyokiuka sheria na taratibu za nchi na ligi kwa kuwapa uraia kiholela wachezaji wa nje kwa nia ya kuinufaisha Yanga.
9. Tutafufua jinsi mabaunsa na watendaji wa Yanga walivyohusika na vitendo vya kihuni, vurugu na jinai dhidi ya mashabiki, waandishi wa habari za michezo na viongozi wa timu nyingine bila wahusika kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu wala kisheria.
10. Tutafufua matendo yanayojirudia mara kwa mara yenye viashiria vya imani za kishirikina yanayoendelea kufanywa na klabu ya Yanga bila mamlaka husika kutoa adhabu kali zaidi kukomesha vitendo hivyo na mara nyingine mamlaka hizo kuonekana kubariki vitendo hivyo.

Usipopewa heshima yako kwa hiari unalazimika kuidai kwa nguvu.
Yote hayo unayafaham bado upo kimya tu, lengo lako kuwa kimya ni nini, huoni au hujui kunyamazia jambo ni kulifanya kuwa halali au kuifanya mizizi izidi kujikita au kwenda chini zaidi?
Na unaamini hadi kuandika hayo yote hujafukua makaburi kama ulivyodai?
Kwamba unavizidi vikao vyote vya simba na kamati zake zote uwezo wa kumbukumbu?
Sio vizuri, na sitaki kuamini kwamba huo ndio uwezo wa kufikiri ulivyo!
 
Back
Top Bottom