Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Tulieni muongozwe kwenye ligi kwa kuwa mbinu yenu Makolo ya KUHONGA MAREFA imezibwa, na bado mtaongozwa sana.Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
Hadi ngao ya jamii walitubeba marefa?Dogo acha kulalama nyie kikosi hamna , kinachowabeba huku bara ni marefa tu.
Hâta hiyo game kama ingekuwa ni huku kwetu ni lazima mngetafutiwa kapenalty[emoji23].
Azam aliwazidi kila kitu leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam alikuwa bora kuliko nyinyi kwa kila kitu.Hadi ngao ya jamii walitubeba marefa?
Kwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
Wataibua furaha nyingine ya muda ili kuzima hiki walichokipata. Wataanza upya stori za usajili wa Moses Phiri... tulijua furaha yenu ni ya muda tu.
Kazi ya kuongoza ligi ni ya Utopolo kila mwaka inakua hivyo.. sisi tutakuja kuchukua ubingwa mwishoni mwa msimu.Tulieni muongozwe kwenye ligi kwa kuwa mbinu yenu Makolo ya KUHONGA MAREFA imezibwa, na bado mtaongozwa sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ingekua sio muhimu tusingeshiriki au tungepeleka watoto.Kwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?
HayaAzam alikuwa bora kuliko nyinyi kwa kila kitu.
Nadhani ungesema kocha ndiye kazinguaHizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
Haikuwa na haja ya kuwarudisha haraka na wakachezaKwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?
Kocha alizingua sawa ila uongozi unatoaje mapumziko wakati tumecheza mechi 11 tu af mtu anatoka kwenye bata anarudi mazima kwenye first eleven.Nadhani ungesema kocha ndiye kazingua
Seriousness haipo sana na nikama baadhi ya wachezaji wanaabudiwa kupita kiasiKocha alizingua sawa ila uongozi unatoaje mapumziko wakati tumecheza mechi 11 tu af mtu anatoka kwenye bata anarudi mazima kwenye first eleven.
Hapa viongozi wamechemka na ndio tatizo kubwa la Yanga ni viongozi kukosa maono na kusimama katika kile walichokiamini. Tangu michuano ya mapinduzi inaanza unaona kabisa uongozi haeakuwa serious nayo. Wakawapa mapumziko wachezaji kadhaa pamoja na kocha mkuu. Tofauti na timu zingine ambazo zilienda na kikosi kamili pamoja na makocha wao wakuu. Uongozi walipaswa kuendelea vile vile katika kile walichokiamini kuliko ghafla tu mnafuzu unaanza kuchukua wachezaji mtaani jumapili waangie Zanzibar wafanye mazoezi siku moja tu halafu utegemee wakupe kitu wakati mpira unshitaji fitness hata kama ni wachezaji ni bora kiasi gani. Haya mambo ndio yaliyosababisha mpaka kutolewa klabu bingwa kwa kushadadia wiki ya mwananchi badala ya kuandaa timuKwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?