Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
 
Tulieni muongozwe kwenye ligi kwa kuwa mbinu yenu Makolo ya KUHONGA MAREFA imezibwa, na bado mtaongozwa sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
Kwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?
 
Lawama zimeanza tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kikombe chao tunakibeba mwaka huu wataishia lile la ngao ya hisani.

hatuachi kitu mwaka huu, mtalalamika sana kwa kocha sijui kuwapa likizo sijui nn ila ukweli mtahonga sana mwaka huu
 
Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
Nadhani ungesema kocha ndiye kazingua
 
Kwako mapinduzi ni mhimu kuliko ligi si ndio?
Hapa viongozi wamechemka na ndio tatizo kubwa la Yanga ni viongozi kukosa maono na kusimama katika kile walichokiamini. Tangu michuano ya mapinduzi inaanza unaona kabisa uongozi haeakuwa serious nayo. Wakawapa mapumziko wachezaji kadhaa pamoja na kocha mkuu. Tofauti na timu zingine ambazo zilienda na kikosi kamili pamoja na makocha wao wakuu. Uongozi walipaswa kuendelea vile vile katika kile walichokiamini kuliko ghafla tu mnafuzu unaanza kuchukua wachezaji mtaani jumapili waangie Zanzibar wafanye mazoezi siku moja tu halafu utegemee wakupe kitu wakati mpira unshitaji fitness hata kama ni wachezaji ni bora kiasi gani. Haya mambo ndio yaliyosababisha mpaka kutolewa klabu bingwa kwa kushadadia wiki ya mwananchi badala ya kuandaa timu
 
Back
Top Bottom