aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo
Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye
Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga
Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo
Hii italeta nidhamu sana
Itakewa weledi
Itapunguza mgao wa buku ten ten kutuhafuhaa