Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Cha moto mtakiona, na badooo. Mi mwenyewe nimeshikilia breaking news hapa, nikiimwaga hapa kuna baadhi yenu mtajinyonga 😛😀
Anyway, msisahau kuangalia mbungi ya South Africa na Morocco leo. Mnaweza kumuona kipenzi chenu Nabi kideoni mumuage kwa mara nyingine 😎
Mwaga mwaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]