Cha moto mtakiona, na badooo. Mi mwenyewe nimeshikilia breaking news hapa, nikiimwaga hapa kuna baadhi yenu mtajinyonga ππ
Anyway, msisahau kuangalia mbungi ya South Africa na Morocco leo. Mnaweza kumuona kipenzi chenu Nabi kideoni mumuage kwa mara nyingine π