ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Priva anacheza number ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.. sisi yanga mwenye akili alikuwa Akilimali tu. Watu wakamuua kwa maslahi yao binafsi.
Yanga wawe wapole. Simba ni timu ya 14 kwa ubora Africa na ndiyo timu yenye u ubunifu na mambo mazuri. Mambo yote Yanga inakopi kwa Simba kwa hiyo vumilieni Privadinho kuwa huko mpaka mtakapopata mwana Yanga mwenye uwezo.Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka.
Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva kupewa nafasi hiyo Yanga kwa sababu gestures zake zina demonstrate Usimba wake.
So katika hilo kwa wanayanga haki haionekani kutendeka.
Suala la Privadinho kupewa nafasi ya uongozi Yanga halijawapendeza wana Yanga wengi.
Mashabiki wa Yanga bado wanaamini kwamba Privadinho ni mshabiki wa Simba.
Ni tusi kubwa sana kwa wana Yanga kumpa nafasi shabiki wa Simba katika eneo ambalo wapo wanachama wapenzi na mashabiki wa Yanga wenye sifa ambao Uyanga wao hauna ukakasi.
Kwako Eng. Hersi Said, please lifanyie kazi, suala la Priva lime wanyong'onyesha wana Yanga wengi sana.
Mwameja hajawahi kuwa Yanga hata siku moja. Ninamfahamu kabla hata hajajenga jina akiwa Ndovu Sports Club Arusha mwaka 1988 na akina Lila Shomari, Mwanga Luheya, James Kisaka.Kaka hizi timu Simba na Yanga zinapendwa kuliko unavyo weza kufikiri.
Mwaka 93, Mwameja ( ambae ni shabiki wa Yanga lia lia ) akiwa ana dakia Simba alisaini mkataba na Yanga habari zikawafikia wanazi wa Simba.. kuna wanazi wali kwenda nyumbani kwake usiku waka mwagia tindikali kwa lengo la kumpofusha bahati nzuri haikuweza kumfikia wala kumdhuru..
Hili la Priva hapana kwakweli.
And am telling you muda si mrefu watu wataanza kuandamana
Kabisa, huyu ni Simba SC kwa kusema yeye mwenyewe na zamani alikuwa akiurushia mawe msafara wa Uto, na pia Baba yake alithibitisha pasi na shaka kuwa ni Simba SCMbona na takadini ni Simba lialia na mnamkubali hadi mnataka kuandamana ili afunguliwe?
Swala sio Manara kuwa shabiki wa Simba au Yanga, hapa hoja ni kukubalika kwa Privaldinho miongoni mwa mashabiki. Kama Manara alikubalika basi nivyeye, na kama huyu wa sasa amekataliwa huwezi kumhalalisha kwa sababu ya kukubalika kwa Haji.Mbona Manara ni Simba tena aliwacharura kwelikweli na mnamchekelea leo. Kuna tatizo gani kwa Priva hata kama ni Simba kufanya kazi kwenu? Acheni ubaguzi au kisa yeye si mropokaji kama Haji?
Washabiki wawe wapole tu, wao wasubiri kushangilia. Mambo ya mikataba wawaachie viongozi, maana waliwaamini wakawachaguaSwala sio Manara kuwa shabiki wa Simba au Yanga, hapa hoja ni kukubalika kwa Privaldinho miongoni mwa mashabiki. Kama Manara alikubalika basi nivyeye, na kama huyu wa sasa amekataliwa huwezi kumhalalisha kwa sababu ya kukubalika kwa Haji.
Ki Msingi Simba yenyewe imetoka ndani ya Yanga Kwa maaanaiyo mashabiki wote wa Simba ni Yanga, kama Priva alikua shabiki wa Simba si mbaya, amekuja Yanga ni Nyumbani, Apewe ushirikiano.Swala sio Manara kuwa shabiki wa Simba au Yanga, hapa hoja ni kukubalika kwa Privaldinho miongoni mwa mashabiki. Kama Manara alikubalika basi nivyeye, na kama huyu wa sasa amekataliwa huwezi kumhalalisha kwa sababu ya kukubalika kwa Haji.
Wakati mmekalia mipasho mtandaoni wenzenu Yanga wanaingia kwa kasi kwenye mabadiliko.Yanga wawe wapole. Simba ni timu ya 14 kwa ubora Africa na ndiyo timu yenye u ubunifu na mambo mazuri. Mambo yote Yanga inakopi kwa Simba kwa hiyo vumilieni Privadinho kuwa huko mpaka mtakapopata mwana Yanga mwenye uwezo.
Hata watu wa Yanga baadhi hukataliwa, sembuse huyu mkia? Elewa, hoja hapa sio timu anayoshabikia, hoja ni kukubalika.Ki Msingi Simba yenyewe imetoka ndani ya Yanga Kwa maaanaiyo mashabiki wote wa Simba ni Yanga, kama Priva alikua shabiki wa Simba si mbaya, amekuja Yanga ni Nyumbani, Apewe ushirikiano.
Basi watulize mashabiki wenzako wa Yanga, maana wa Simba hawana tatizo nayeKi Msingi Simba yenyewe imetoka ndani ya Yanga Kwa maaanaiyo mashabiki wote wa Simba ni Yanga, kama Priva alikua shabiki wa Simba si mbaya, amekuja Yanga ni Nyumbani, Apewe ushirikiano.
Naanza kukutuliza wewe ambaye ime kuuma Priva kufanya kazi Yanga. Kuhusu ao mashabiki wa Yanga wanao mkataa Priva, baada ya muda wata mkubali.Basi watulize mashabiki wenzako wa Yanga, maana wa Simba hawana tatizo naye
Njooni wote mlioelemewa na misukosuko na machungu ya timu zenu Yanga itawapa hifadhiKabisa, huyu ni Simba SC kwa kusema yeye mwenyewe na zamani alikuwa akiurushia mawe msafara wa Uto, na pia Baba yake alithibitisha pasi na shaka kuwa ni Simba SC
Kwahivyo kama Priva ni Mnyama waendelee kukaa naye kama ilivyo kwa Haji.
Na kama haiwezekani basi wajitenge na Haji pamoja na Priva.
hivi priva na haji Sunday manara nani ambae ni mwanasimba damu damu.... kuna baadh ya mashabik ufny mamb kwa hisia zaidi kuliko akiliHekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka.
Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva kupewa nafasi hiyo Yanga kwa sababu gestures zake zina demonstrate Usimba wake.
So katika hilo kwa wanayanga haki haionekani kutendeka.
Suala la Privadinho kupewa nafasi ya uongozi Yanga halijawapendeza wana Yanga wengi.
Mashabiki wa Yanga bado wanaamini kwamba Privadinho ni mshabiki wa Simba.
Ni tusi kubwa sana kwa wana Yanga kumpa nafasi shabiki wa Simba katika eneo ambalo wapo wanachama wapenzi na mashabiki wa Yanga wenye sifa ambao Uyanga wao hauna ukakasi.
Kwako Eng. Hersi Said, please lifanyie kazi, suala la Priva lime wanyong'onyesha wana Yanga wengi sana.
Wewe Ni PUMBAVU SANA. YAANI TUMKATAE PRIVADINHO HALAFU TUMKUBALI HAJI MANARA? WEWE UNA AKILI KWELI?.MANARA TULIMKUBALI KWA KIGEZO GANI? nyie ndo mnafanya wote Yanga tuonekane hatuna akili na tutukanwe.
hivi priva na haji Sunday manara nani ambae ni mwanasimba damu damu.... kuna baadh ya mashabik ufny mamb kwa hisia zaidi kuliko akili