Mwaya mambo vije? Hivi shem ben aja lini pale? Mwambie pale siasa zawekwa mfukoni! Msalimie sana!
Nimekusoma boss wangu!
......Ongezea na ukinywa maji waniona kwenye glasi.Yah for sure if u don't mind I need ur company,I like u so much,u walk on my way in every beat of my heart
hizi get together ni za kimya kimya bila invitation? hata kama tumefunga jamani kutualika tu inaonyesha kua mnajari...
Ndo nani uyo.....
hizi get together ni za kimya kimya bila invitation? hata kama tumefunga jamani kutualika tu inaonyesha kua mnajari...
Pole Kapalampya.....hii ilikuwa ni maalumu kwa watu maalum.
Next parre kama alivojibu odo Madame B utaalikwa!
ila uje na "mnazi"
Pole Kapalampya.....hii ilikuwa ni maalumu kwa watu maalum.
Next parre kama alivojibu odo Madame B utaalikwa!
ila uje na "mnazi"
hao watu maalumu wananini, wanatembea kwa mikono?.. ngoja na sisi lindi wing tuandae ya kwetu tuna ndugu yetu anamcheza mwanae..
Haya mwanafunzi wangu Kaizer, umesomeka kikubwa na mimi.
sijakuelewa bado ndo tayari nn mana usiku silali nikilala nakuota wewe tu,
Jamani.......
Sio hivo, sasa wewe unadhani ungeweza kuja fasta maana tuliambiana J5 then Jmosi ndo tukakutana.
hao watu maalumu wananini, wanatembea kwa mikono?.. ngoja na sisi lindi wing tuandae ya kwetu tuna ndugu yetu anamcheza mwanae..