huku kwetu kuna ndege dk 45 pia kwa basi ni masaa ma6 tu nipo mjini nikitoka saa 12 saa 5 nipo dar naweza kuja na kurudi..
yani...........ngoja nigeuze kibao! venue kwa ajili ya combo party inafanyika kwa Fixed Point.
wadau andaeni nauli tu! na "passeport" (tamka kwa kifrenchi hiyo)
Haya mwanafunzi wangu Kaizer, umesomeka kikubwa na mimi.
sijakuelewa bado ndo tayari nn mana usiku silali nikilala nakuota wewe tu,
CC: My Huz's Ben Saanane & Remote.
jamani umenikamatisha lakini si nilikuuliza kama una mtu ukanijibu sina....!!CC: My Huz's Ben Saanane & Remote.
Haya ..........kwa hapo mie na wenzangu ndio tuna makosa.
Tuwie radhi, next time tutakushtua Kapalampya!!!!:wave:
Haya ..........kwa hapo mie na wenzangu ndio tuna makosa.
Tuwie radhi, next time tutakushtua Kapalampya!!!!:wave:
Mkuu jana list ilitimia, maana walikuwepo gfsonwin, amu, Asprin, Nammeta, monaco, Kipaji Halisi, Paloma, Jeska, Dr. Welelo, ladyfurahia Madame B, Bujibuji, wageni waalikwa walikuwa ni warembo wafuatao, Maya, Nurah, Edwardina, Angel na mzee Mtambuzi mwenyewe niliwakilisha...
na sisi tunataka xposure jamani sio kujifungia huku roadlocked province
Mambo Ya "komasavaa"
yaani ww bila kunitaja roho yako haipumui mpaka unitaje?
Kuwa mbali na majiji.
Asee mkuu Mwita Maranya habari za jumapili, msiri wangu mwaJ hajambo?
Eheheeeeee...nlikuwa sijacheka tangu asubuhi!
Nimekusoma boss wangu!
Wewe Mwita Maranya mjibu mwenzio!
Hapo ndio ninapokupendea! Vigezo na masharti kuzingatiwa!
yaani ww bila kunitaja roho yako haipumui mpaka unitaje?