Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

mkuu umeelezea vizuri mpaka akilini nikawa nawaza upo kati ya hizo mojawapo
 
mhn! hii sumu haihitaji maziwa wacha tu hiyo mihela wachukue
 
Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!
Hii ni mbaya sana,hutakiwi ujue Mambo mengi
Nalog off
 
Vijana Wa usalama kazi inawashinda sasa jioni hii namsoma mmoja apa front view anajifanya anauza pafyumu ngoja niusome mchezo mpaka saa nne usiku nione madhaifu yao
 
Vijana Wa usalama kazi inawashinda sasa jioni hii namsoma mmoja apa front view anajifanya anauza pafyumu ngoja niusome mchezo mpaka saa nne usiku nione madhaifu yao
Kama kuna sehemu kuna mapungufu ni bora umsaidie maana kuna kauli ile isemayo
kila Mtanzania ni Askari, hivyo na wewe ni sehemu ya Taifa
 
Kama kuna sehemu kuna mapungufu ni bora umsaidie maana kuna kauli ile isemayo
kila Mtanzania ni Askari, hivyo na wewe ni sehemu ya Taifa
Nikweli Mkuu ila awapendi kuona MTU baki kama anaweza kuona baadhi ya mapungufu yao naplay sehemu yangu Mkuu.wengine tuna nyota Kali sana hivyo nabahati sana kuwaona awa vijana
 
Nikweli Mkuu ila awapendi kuona MTU baki kama anaweza kuona baadhi ya mapungufu yao naplay sehemu yangu Mkuu.wengine tuna nyota Kali sana hivyo nabahati sana kuwaona awa vijana

sidhani kama atakataa msaada wako,wao pia wanajua kwamba kuna watu wana akili sana ila hawafanyi kazi kama zao.

au kama kweli wewe ni mbabe kichwani,msaidie bila yeye kujua kama amesaidiwa.
 
Kuna point mbili kuu zinazofanana katika huu uzi.

1. Point ya MAWAZO UJENZI post no.150

2. Point ya Malcom Lumumba post no. 46 kwenye NB. 2

Intelligence ya jeshini sio ya mchezo. Mfano ni Uturuki. Wale wanajeshi walioteka kituo cha radio na TV na kusema serikali imepinduliwa, walitakiwa wadakwe mapema sana kabla ya tukio.

Kwa vijana wanaopenda kazi za usalama, watambue usiku huu kuna watu wapo nje sehemu tofauti tofauti ikiwemo ikulu wakiwa wamevaa suti wakilinda.

Ni sawa sawa na walinzi wetu wa mtaani, sema tu kwa hawa wana silaha, training ya kutosha, ajira ya kueleweka, mshahara wa uhakika na wamekula kiapo kwa kazi wanazofanya.

Kama unapenda kazi ya usalama, basi naomba upende kulinda mlango wa chumba ambacho ndani hamna mtu, na mwenye hicho chumba ambaye ni mgeni wa taifa yupo chimbo lingine mbali na hapo. Sasa usiniulize wanalinda nini humo.

Kubali pia kulinda gari ambalo halina mtu na ni usiku huku ukiwa ni mke wa mtu.

Nidhamu Nidhamu Nidhamu na utii.
 
Kazi hii ni nzuri hasa ikiwa ulizaliwa kwa ajili hiyo, hivyo adha zake unazimudu tu na kuzifurahia; lkn kwa wale watafuta ajira na misifa utaishia 'kuokotwa kisimani' ukiwa maiti (snitched) maana ETHICS zake zitakufanya ujione mtumwa usiyeweza kuvumilia utumwa na hivyo kujitoa ufahamu matokeo yake ndio hivyo.
Ndio maana duniani kote mashushushu na majasusi lazima wawe 'INTELLIGENT' something which is natural!

Mie siipendi kabisa kazi hii maana unawinda huku ukiwindwa. Ni sawa na jambazi kuingia nyumbani kwa mtu akidhani HAONEKANI kumbe ANASUBIRIWA tu kwa hamu!
 
Wengi wa wanaoifanya kazi hii kama wangekuwa wanaweza kusailiwa kuhusu kuiacha bila shaka wangebaki wachache sana maana wengi wanaishi kwa kujuta ndio maana wengi hufa kwa kujinyonga au kujiua kiaina maana they're full of stress!
 
Unawajua wangapi waliokufa kwa kujinyonga? Na unafikiri nini kinapelekea wao kujiua?
Ni nature ya kazi yao au kuna kitu cha ziada kinawa'drive' kujiua kama ulivyoainisha?
 
Wengi wa wanaoifanya kazi hii kama wangekuwa wanaweza kusailiwa kuhusu kuiacha bila shaka wangebaki wachache sana maana wengi wanaishi kwa kujuta ndio maana wengi hufa kwa kujinyonga au kujiua kiaina maana they're full of stress!
Kwa Tanzania hamna anayejutia kuwa katika hizo idara zaidi ya kufurahia ulaji wa peza za walipa kodi bila kazi yoyote wanayoifanya "they are all losers"
 
Hii kazi ngumu, jamaa wanajitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili, hii si kazi ya kuikimbilia kisa malupulupu na mshahara mkubwa inatakiwa dhamira ya zati kutoka moyoni.
 
Hii kazi ngumu, jamaa wanajitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili, hii si kazi ya kuikimbilia kisa malupulupu na mshahara mkubwa inatakiwa dhamira ya zati kutoka moyoni.
Usiogope wewe nenda kale pesa hawana kazi ngumu wala weledi wowote zaidi ya kuwa watumwa kwa wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…