Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!

Mmaaaa!!!!! kumbe ni zaidi ya ushetani aaah
 
Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!

Haaa kwahiyo ukitumwa hiyo unayoiita misheni sijui, unatakiwa uwe muangalifu ukimaliza aiseee mambo gani sasa hayo aaah ningalikuwii kunyumba ne mbwitu haaaa
 
Haaa kwahiyo ukitumwa hiyo unayoiita misheni sijui, unatakiwa uwe muangalifu ukimaliza aiseee mambo gani sasa hayo aaah ningalikuwii kunyumba ne mbwitu haaaa
Haa ha... Usalama wa taifaaa si mchezoo..!! Yani usalama wa taifa anaweza kuwa Mwanajeshi...akaigiza ukichaaa...mvutaa bhangiii..Jambazii..ili mradi afanikishe jambo alilotumwaa
 
Haa ha... Usalama wa taifaaa si mchezoo..!! Yani usalama wa taifa anaweza kuwa Mwanajeshi...akaigiza ukichaaa...mvutaa bhangiii..Jambazii..ili mradi afanikishe jambo alilotumwaa

Nahisi watakua na laana hadi uigize mambo yote hayo looh ulofa huo kabisa
 
Inashangaza kuna watu wanataka information ya chombo. Dude halina kichwa wala miguu hata waliomo walijua kwa upande alionao. Hakuna information humu tupigeni story tu za ki novel (esp spy novels)
[emoji40] [emoji40] [emoji108]
 
Inashangaza kuna watu wanataka information ya chombo. Dude halina kichwa wala miguu hata waliomo walijua kwa upande alionao. Hakuna information humu tupigeni story tu za ki novel (esp spy novels)

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]mimi nafurahi sana maana watu wanaadika wasivyovijua.
watu wanajipinda balaa kuelezea ila,

lla kila mtu anafanya yake.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]mimi nafurahi sana maana watu wanaadika wasivyovijua.
watu wanajipinda balaa kuelezea ila,

lla kila mtu anafanya yake.
Kuvijadili vitu kama hivi inabidi ujitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa sana
 
Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.
Acha uongo, labda unazungumzia TISS ule mfumo wa benk kuu ,
 
( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa.
.
Mkuu hapo kwenye bold ulimaanisha SYMBOLOGY au ni Symbiology kama ulivyoandika?
 
Ngoja nitafute kabisa Popcorns na Kinywaji baridi nikae nione jinsi ' Wajuvi ' wa haya mambo aliyoyaleta Mleta mada / uzi watakavyotiririka na kuserereka ili hata Mimi ' Ngumbaru ' niweze kujua a,b,c's za hii Taasisi ' Tishio ' ndani na nje ya Tanzania.
Ngumbaru wa kinyarwanda
 
ndio wewe nini?
ndio huyo huyo aliyekuwa anajifany kibarua magufuli hostel....alivyokuwa anakuj magu alikuwa pemben pembn.
Kuna yule aliyeaandamanaga peke yake kipindi cha kupandisha bumu. Niliambiwa naye alipata nafasi huko huko ni kweli au zilikuwa story. Hwever ukiwa ktk jamii za vyuo kuwajua jamaa ni rahisi sana. Hawamalizagi vyuo na wakolamliza wanpata kazi maeneo hayo hayo....
 
Kwa tetesi zisizo rasmi ni kwamba 90% ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalma ni watu kutoka TISS undercover hii ni pamoja na wakuu wa vitengo ndani vyombo hivyo ndo maana TISS wanabki kuwa regulator wa kila jambo hata kuamua nani awe president wa nchi
Story tu hizo,Tanzania kila mtu akinunua miwani yenye rangi nyeusi anajiita mtu wa kitengo
 
Back
Top Bottom