Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Usiogope wewe nenda kale pesa hawana kazi ngumu wala weledi wowote zaidi ya kuwa watumwa kwa wanasiasa
Acha kauli za kejeli huenda kuna mapungufu yapo kulingana na katiba yao lakin kumbuka wanajitoa zaid kulinda taifa
 
Napenda ule mjengo wao ukiuangalia toka angani Uko kama mwewe Eagle
 
Acha kauli za kejeli huenda kuna mapungufu yapo kulingana na katiba yao lakin kumbuka wanajitoa zaid kulinda taifa
Sasa kama katiba ina mapufu wamefanya nini ili kuhakikisha inakaa sawa sasa kama mambo ya kitafa yanawashinda watayaweza ya kimataifa hapo ndo walipo prove that they are nothing and useless
 

Mchango wako unaonyesha kuwa at least kila mmoja aliumbwa akiwa anapenda kufanya kilicho kizuri, na kwa mantiki hiyo inapotokea watu wamefanya vile ambavyo ni vibaya, inakuwa ni nje ya matarajio yao.. Looks like kila mtu anapenda kufanya kazi ya usalama, wakati sijawahi kusikia kuwa ndiyo kazi inayoongoza kwa maslahi mazuri.Inaweza kuwa ina maslahi mazuri ndiyo lakini sina uhakika kama nii kazi inayoongoza kwa maslahi mazuri. Kwa hiyo watu wanaoitamani hasa inakuwa si kwa ajili ya maslahi, isipokuwa ni nature ya kazi yenyewe wanaipenda. Nadhani zaidi ya asilimia 90 ya watu watakuwa wanapenda kazi hii. Neno INTELLIGENCE/USALAMA, ndiyo kivutio hasa, na si maslahi ya kazi,..., au ninakosea? Everybody would love to be regarded as INTELLIGENT.

Ni kama mtoto mdogo anapokuwa ansoma shule ya Msingi, anapopata alama nzuri huwa anafurahi sana si kwa sababu anataka kuja kupata kazi nzuri huko baadaye hapana. Ni kwa sababau alama nzuri ni nzruri kwake, basi!
 
Ndo unashtuka sasa kuwa jamaa nae ni kachero? Hahaa umeanza kukana stori yako
 
Kwanini mnaliweka pembeni jeshi la polisi na kukomaa na Jwtz pekee?Ina maana ni kweli hamjui kwamba jeshi la polisi lina taarifa nyingi na muhimu kabisa za kiusalama kuliko hata Jwtz?
 
Hii kazi ngumu, jamaa wanajitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili, hii si kazi ya kuikimbilia kisa malupulupu na mshahara mkubwa inatakiwa dhamira ya zati kutoka moyoni.
Acha wewe, hakuna anaejitoa sadaka kww ajili ya taifa hili bila kuangalia upande wa pili kwa maslahi yake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kwanini mnaliweka pembeni jeshi la polisi na kukomaa na Jwtz pekee?Ina maana ni kweli hamjui kwamba jeshi la polisi lina taarifa nyingi na muhimu kabisa za kiusalama kuliko hata Jwtz?
halijasahaulika,ila ni ishara kwamba linajitegemea halihitaji msaada kutoka taasisi nyingine katka utendaji wake.ndio maana hujaona likihusishwa hapo.
 
Hii kazi ngumu, jamaa wanajitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili, hii si kazi ya kuikimbilia kisa malupulupu na mshahara mkubwa inatakiwa dhamira ya zati kutoka moyoni.

Mkuu siku za Nyerere kulikuwa na ulaji hatari. Kuna Mzee fulani hivi sasa ni marehemu, yeye alikuwa akizitumia pesa kwenye kuifadhili timu ya Yanga kwenye mambo ya kishirikina.
 
Tiss wanafanya kazi Yao Barabara toka 1961 mpaka hapa tulipo sio haba kwa kuwa wao sio Malaika mapungufu machache yatakuwepo hila kwa ujumla wake wanafanya kazi vizuri sana pia wapo wanaichafua kwa kujiita usalama kumbe sio wanachonga vyeti feki..Kwa ujumla wake vyombo vya usalama na ulinzi vinafanya kazi zao vizuri.
 


Mkuu unanikumbusha jamaa yangu fulani anaishi majuu, alikuja kutembea .
Wakati anatoka uwanja wa ndege vijana wako wa TISS wakamfuatia .Bila aibu wakaanza kumtaka atoe chochote au watamfanyia zengwe. Kwa bahati alikuja kupokewa na Mzee fulani ambaye alivalia ki-smart kama yule mnajimu Marehemu Sheikh Yahya Hussein. Jamaa walipomwona tu walijikata kama wadudu. Haya ni wakati wa Rais Mkapa
 
TPDF ndio wenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…