Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Hapo ndo shida ilipo.
Mkuu wanakaa uko kwenye nyumba za ibada mpaka wanasahau familia Mwaka Jana kuna mmoja aliachana na wife wake kisa ubize Wa kazi jamaa alikua na semina za dini 24/7 mwishowe wakammegea wahuni.

Alafu ni watu Wa visasi saana kwa sasa naona anatumia mbinu mbadala kuhakikisha anammaliza jamaa aliyemlia wife wake hata safari zimepungua sana za huko Dar es salaam.Lazima amuwinde tu kwa mazingira yoyote Yale
 
Athari ni pamoja na kufa taratibu kwa kuyajua mabaya mengi yanayoisumbua nchi na huna la kufanya zaidi ya kumweleza mkurugenzi mkuu na mfadhili. Ni mbaya sana kujua kisa na njia ya kukimaliza lakini huwezi tenda.

Lazima ufe kwa kihoro. Suluhisho: Ulevi na Umalaya
Mkuu unamjua na mfadhili pia..we hatari sana
 
Ni mbaya kuliko JWTZ @ TPDF kwani wapo kazini saa 24 kwa siku saba. Pia hamjui adui na anatakiwa amfahamu kiundani hasa. Hana adui maalum kwani yote yake mradi usalama wa taifa uwe salama. Tiss personnel are supposed to detect and eliminate in covert and/or clandestine way any threat to national security.

Huo ndio ubaya wa TISS. TPDF anasubiri tuvamiwe ndo aingie kazini.
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,
 
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu
Kweli kabisa Ndugu watu wanaongeaga tu bila hata facts, au Experience binafsi
Yuko jamaa tulikuwa nae Kazini, in the same Department almost kipind chote cha Rais awamu ya tatu, Tukaenda nae Kuongeza Elimu, awamu ya nne ya JK, Tumerudi Tukapiga Nae kazi Almost 3 Years; Ila Sikuamini wakati Mheshimiwa JPM alipokuwa anahitimisha yale mazoezi ya wanajeshi kwa njia ya Maji, nilimuona akiwa na Gwanda Anapewa mkono na Muheshimiwa Rais; Hapo ndipo nilipojua kuwa TPDF ni chombo cha juu sana kwa ulinzi kama unavyosema.
Kwakweli Ofisin tulishangaa sana, Binafsi sijawahi kumtilia shaka mpaka nilipomuona kwenye hiyo function.
USHAURI: Kama uko Taasi kubwa za Serikali kuwa makini sana na unacho-share na unachosema, inawezekana ukadhurika japo Indirectly.
 
Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.
 
Wengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
sasa ndugu si uende tu akakupe maujanja
 
Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.
hvi ni kweli haya maneno ndugu?
 
Mkuu tatizo hawa vijana wanaingizwa kitengoni wamekosa uadilifu kabisa yaani sasa hadi watoto wadogo wanajua kua flani nikitengo ufahari Wa kujionyesha kuwa wao ni kitengo ndo unawaponza Mkuu

Wengi wanapenda sifa sana lakini vyuma kwa sasa lazima viwakaze hats majukumu yao sasa wameanz kuyafanya maana amna mianya tena
 
Back
Top Bottom