blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,268
- 1,143
Mkuu karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu karibu
Kwa ngazi kuanzia leftnant / second lieutenant. Ni Bora mara alfu kuliko TISS aseeeKwani TISS ni kazi mzuri kuliko JWTZ
Kuwa makini.Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.
Ni mbaya kuliko JWTZ @ TPDF kwani wapo kazini saa 24 kwa siku saba. Pia hamjui adui na anatakiwa amfahamu kiundani hasa. Hana adui maalum kwani yote yake mradi usalama wa taifa uwe salama. Tiss personnel are supposed to detect and eliminate in covert and/or clandestine way any threat to national security.
Huo ndio ubaya wa TISS. TPDF anasubiri tuvamiwe ndo aingie kazini.
ECAnacho kitaka hakielezeki kwa mazingira ya sasa! unless aje yule Wa Glasgow na ID zake amfumulie!
Tatizo jf unaruhusiwa tu kutoa like moja ingekuwa zaidi ya moja ningekupa zote kwa uchambuzi mzriLakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa Para-militaristic sana TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe.
Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa juu sana.
Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.
Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Minded" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa ya kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.
NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100 na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo.
Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........
NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........
Unachosema ni dhahiri mkuu.Kuna baadhi ya watu katika idara nyeti za umma wanapenda kushare baadhi ya vitu vya maofisini as a way to release their grievancies lakini ni busara ya kawaida kuhakikisha haujadili kitu ambacho ni siri ya ofisi/wewe binafsi.Kukaa kimya kwa masuala nyeti ya nchi hasa ya usalama ni UZALENDO pia.So guys tuwe makiniKweli kabisa Ndugu watu wanaongeaga tu bila hata facts, au Experience binafsi
Yuko jamaa tulikuwa nae Kazini, in the same Department almost kipind chote cha Rais awamu ya tatu, Tukaenda nae Kuongeza Elimu, awamu ya nne ya JK, Tumerudi Tukapiga Nae kazi Almost 3 Years; Ila Sikuamini wakati Mheshimiwa JPM alipokuwa anahitimisha yale mazoezi ya wanajeshi kwa njia ya Maji, nilimuona akiwa na Gwanda Anapewa mkono na Muheshimiwa Rais; Hapo ndipo nilipojua kuwa TPDF ni chombo cha juu sana kwa ulinzi kama unavyosema.
Kwakweli Ofisin tulishangaa sana, Binafsi sijawahi kumtilia shaka mpaka nilipomuona kwenye hiyo function.
USHAURI: Kama uko Taasi kubwa za Serikali kuwa makini sana na unacho-share na unachosema, inawezekana ukadhurika japo Indirectly.
mkuu show respect kwa Bazazi ,usimchukulie poa sana ,namjua JF tangu 2009 ana nondo za ukweli hatemi pumba labda akiwa kule jukwaa lake chini ndio akili zake zinashuka kwenye zipu..anakamsemo kakeee "Security is Absence of Threats to Acquired and Perceived Values"Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,
tuna wa over rate, hamna kitu kuleKwani TISS ni kazi mzuri kuliko JWTZ
Huna cha kusema hapa?Ngoja nitafute kabisa Popcorns na Kinywaji baridi nikae nione jinsi ' Wajuvi ' wa haya mambo aliyoyaleta Mleta mada / uzi watakavyotiririka na kuserereka ili hata Mimi ' Ngumbaru ' niweze kujua a,b,c's za hii Taasisi ' Tishio ' ndani na nje ya Tanzania.
Kweli kabisa Ndugu watu wanaongeaga tu bila hata facts, au Experience binafsi
Yuko jamaa tulikuwa nae Kazini, in the same Department almost kipind chote cha Rais awamu ya tatu, Tukaenda nae Kuongeza Elimu, awamu ya nne ya JK, Tumerudi Tukapiga Nae kazi Almost 3 Years; Ila Sikuamini wakati Mheshimiwa JPM alipokuwa anahitimisha yale mazoezi ya wanajeshi kwa njia ya Maji, nilimuona akiwa na Gwanda Anapewa mkono na Muheshimiwa Rais; Hapo ndipo nilipojua kuwa TPDF ni chombo cha juu sana kwa ulinzi kama unavyosema.
Kwakweli Ofisin tulishangaa sana, Binafsi sijawahi kumtilia shaka mpaka nilipomuona kwenye hiyo function.
USHAURI: Kama uko Taasi kubwa za Serikali kuwa makini sana na unacho-share na unachosema, inawezekana ukadhurika japo Indirectly.
Mbona nyuzi za Usalana zimekuwa nyingi humu what up?
Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa Para-militaristic sana TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe.
Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa juu sana.
Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.
Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Minded" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.
NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.
Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........
NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........
Ndio hivyo tu shetani huwa haruhusu watu wenye akili 100.% kuwa leaders!Mkuu naona uko kwenye eneo la tukio.
Kama vile uko ndani ya lecture room.😀😀😀
Ndio hivyo tu shetani huwa haruhusu watu wenye akili 100.% kuwa leaders!
Naweza nikakusoma kwa mbali unamaisha Fulani ambayo niyakawaida na wala huwezi kushika hatamu yeyote kwa sababu umebeba kitu hatari sana!
Unauwezo mkubwa wa kuchambua na kama serikari ikijua inawatu kama ninyi wale wakina bash.....e wote wangekuwa wakulima tu!
Big up broh! Nimekusoma fresh
Kazi ipi?,TISS au JWTZ?Naipenda sana hii kazi aise