Mnabishana kitu kidogo sana, yuke Boss aliyefichuliwa na jiwe kwamba ni TISS mnamkumbuka ? Yule ni polisi na kazi yake huko ilikuwa ni kuoeleka taarifa kwa jiwe kuhusu polisi kwa mfano askari fulani amefanya hivi nk. Hao wapo hadi TPDF na kazi yao ni kupeleka taarifa kwamba mkuu wa sehemu fulani amefanya jambo fulani au jeshi linafanya hivi nk
Kwa kifupi hadi jeshi la mgambo kuna TISS,wamewekwa majeshini kuhakikisha wanazima majaribio ya mapinduxi na kuwachomea ma boss wauza silaha nk. TiSs ni wambea na kazi yao ni kufanya umbeya so usidhani eti wakiwa JWTZ hawatoi siri za jeshi. Wapo maafisa wa TISS hadi ulaya,congo,uganfa nk.pale Uganda wakati vita ndio imeanza kuna askari wa TISS walitumwa UG ila mmoja alidakwa akauliwa,walimshtukia coz alijidai chizi so akaanza kufuatiliwa
Afu hoja yako eti TISS akichunguza jeshi atauwawa ni dhaifu sana, nani wa kumuua ? Unajua hadi askari wa jeshi kuuwawa ni mpaka atiwe hatiani na mahakama ya kijeshi ? Sasa mtamuhukumu kumuua mtu aliyetumwa na amiri jeshi mkuu ?. Na unadhani kumjua ni rahisi ? Nakupa mfano hapo Congo jeshi liliunda mpango wa kumuua rais ila akatonywa na watu wake wa usalama ndani ya jeshi