Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Idara ya Usalama wa Taifa iweke wazi Ofisi zake zilipo na iajiri kwa wazi kama CIA wanavyofanya. Sio mambo yote ya kufanyia gizani
[emoji16][emoji16][emoji16], wazo lako zurii lakini kwa kipindi tulichonacho sidhani. Watu wanasema yule brother aliyeachiliwa hivi majuzi kutokea kule kwa kaskazini eti na yeye alikuwa ni member wa tiss! Kama ni kweli ndo idara yetu ina vijana wa design hiyo taifa lipo kwenye totoro kiza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sisi wananchi tumekusikia.

Sasa unataka Mfumo ubadilishweje? Toa mapendekezo ya namna ya kubadili mfumo!? Sisi wananchi, Hatutaki malalamiko ya kero tu tunataka utuandikie mapendekezo ya namna ya kuondoa kero hizo.

Rasimu ya jaji Warioba ilibeba namna bora ya uongozi katika nchi hizi. Ila CCM waliogombea rasimu ile na kubadilisha mapendekezo ya wananchi ili kuendana na uchu wao wa madaraka.
 
Ajabu ni kwamba kuna mtu anakopa mabilioni benki 5 kubwa na kukimbia nchi.

Hao tiss wapo busy kukamata kina mbowe.
 
Sidhani kama hayo ya kuzuia wizi ndio majukumu ya msingi ya hiyo idara ya usalama. Labda kuna sehemu hatuelewi au tunachanganya mambo. Ninavyofahamu kila taasisi ya serikali huwa na kitengo cha Ukaguzi wa ndani (internal audit) ambacho ndio kina jukumu la kukagua na kubaini kama kuna vitu haviko sawa na
Dah kwhy mnajazana maofisi kwa kazi gani ,,,Kazi yenu kupeleka umbea kwa maboss ,,,
Hicho kitengo Cha audit kimefanya nn kwa Taifa ???
 
Hawa usalama wa taifa wana shida sana aisee na wanakera sana wana shida mbili iko hivi wao wanajiona ndo wao wakati kiuhalisia ni watoto wadogo sana,

Iko hivi kuna siku nilikuwa Kigoma kikazi sasa siku iyo kulikuwa kuna vijana wa JKT walikuwa wanafanya usafi kwenye holi moja wapo ambalo waziri mkuu alitakiwa aje pale.

Sasa mm nilikuwa kama msimamizi wa wale vijana wa JKT natoa code tuu sijali wala nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hii ni true story aisee.

Sasa bhana katika kufanya usafi wale madogo hawa usalama wa taifa si wakaja bhana sasa kama mnavyojua sisi wazee wa kitenge hakuna kitu tuna heshimu kama bendera na katiba yani bendera tunaheshimu vibaya mno..

Ww ukitaka zinguana na sisi basi mess up katika hivyo vitu viwili bendera na katiba,[emoji41][emoji41] mana sisi tupo kwa ajiri ya kusave hivyo vitu viwili tu bendera na katiba basi na si kingine tuna viheshimu sana

Sasa bana siku iyo ilikuwa saa kumi na mbili jioni mzee madogo wakawa wanashusha bendera sasa ujue bana kama nilivyosema sisi wa kwetu kwetu huwa tunaheshimu bendera vibaya mno bendera ikishushwa lazima tuheshimu.

Bwana wee yule dogo wakati anashusha bendera aisee kuna uyo usalama wa taifa anajifanya eti anakagua kagua mazingira na wakati filimbi imepigwa watu tumesimama yy anajikuta anatembea tembea na kukagua kagua mazingira tulimuacha mpaka bendera ilivyoshushwa.

Sasa baada ya kushushwa bendera tukamfata tukamwambia ww ni mzarendo gani usiheshimu bendera akawa mjuaji anaoongea shit aloo tulichukua fimbo tukanza mchapa aisee chapa sana akajifanya kutoa eti kipisto chake akapiga juu..

Tukamwambia ww ni mpuuzi eeh yani unatutishia sisi pisto na wakati sisi tunacheza na silaa ambazo ww tokea uzaliwe ujawai ziona hata tulimzingua likawa bonge moja la vagi mpaka wakuu wakaja.

Wakuu walikuwa wakuu wao na wakuu wetu mana ugomvi ulikuwa mkubwa sana ishu ikasoviwa pale frsh

Sasa bhana kesho yake tulivyoshusha bendera wote wakawa wamesimama wakaheshimu,hivyo basi usalama wa taifa inatakiwa uwe na weledi kama ilivyo usalama wa jeshini IO..usalama wa sikuhivi si wazalendo hawana siri ni wana mambo ya hovyo sana...
Upande wa siri ni kama wewe ulivyokuja kumuanika agent hapa.
 
Hata mimi juzi nilimzabua mwanajeshi mmoja hivi kisa eti kanipa amri kusimama nikagoma wakati sipo kambini kwao wala eneo hatarishi ,,,wakati ananisogelea nikamsoma macho take nikaona ni mchumba tu nikamziba vibao akina mama waliokuwa pale wakapiga kelele Mimi sikujali nikamburuza na magwanda take,,,badae akaja mzee mmoja ana busara akayamaliza kiutu uzima mjeda akabaki na aibu zake haoni hata njia ya kupita kwa aibu,,sasa hivi natembea na kisu changu najua atanivizia na wenzake siku hiyo watajuta mbwa wake maana mkono naujua
 
Sawa sisi wananchi tumekusikia.

Sasa unataka Mfumo ubadilishweje? Toa mapendekezo ya namna ya kubadili mfumo!? Sisi wananchi, Hatutaki malalamiko ya kero tu tunataka utuandikie mapendekezo ya namna ya kuondoa kero hizo.
Sasa wewe inerpol na wenzio mliendaga nje ya Nchi kujifunza Nini,,Mana kwa zama hizi za transformations wewe t es es unataka sisi walala hoi tukufundishe kazi,,,,mnamaliza kodi zetu..

Mnachojua Ni kutuwekea bastola vichwani ili watawala wapite bila kupingwa
 
wakati TISS ikiajiri staff wake kwa kufuata mifumo ya kizamani toka mataifa ya kikomunisti, huko CIA mambo ni kama hivi.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Browse CIA Jobs - CIA
Sio hao tu taasisi zote hadi MSS ya China nayo hutangaza kazi zao japo wao wameelekeza kazi kwa Police Dep
 
Tatizo ni pale ambapo idara hii wanachukuana makada wa CCM, bila kujali u-smart kichwani ,uzalendo n.k.
Kazi yao kubwa ni kuvaa masuti meusi,kulinda viongozi na kuteka ama kuua wapinzani wa serikali.
Hii sio sawa.
Naililia NCHI yangu Tanzania.
Mtu aliyeshindwa elimu akakimbilia jeshini anau-smart gani?
 
Sasa usalama wa Taifa unaeingilianaje na ufisadi,TAKUKURU kazi yao nini?
Ni kazi yao kuhakikisha hakuna uhujumu uchumi ufisadi wala ubadhirifu wa mali za umma.

Kiutendaji TISS inatakiwa isimamie usalama wa nchi, uchumi na siasa za kitaifa.

Ila kwa huu mfumo mbovu hawatimizi majukumu yao.
 
Nina hakika Nina na uhakika kabisa yakuwa nitakacho kisema Leo nitarukiwa na kushukiwa kama mwewe na mijitu inayo itwa Usalama wa TAIFA na mawakala wao kimsingi Hali ya ufisadi katika TAIFA inazidi kuwa mbaya mbaya mbaya na watu wanao takiwa kuchunguza na kubaini upuuzi HUU wapo na wanalipwa mishahara mikubwa tu.

Tunaambiwa na mkaguzi halimasharu zetu kalibia mamlaka 188 zimetoa Bilioni 88 zimepotea Kwenye mikopo ya vikundi nataka niseme hakuna Halimashauri ambayo Haina vijana wetu wa Usalama wa TAIFA wapo na wanao uwezo wa kuchunguza kama fedha za umma zimepelekwa Kwa vikundi kweli au ni hewa nasema hivi maana niliwai Kuta mfano wilaya ya mreba tu, mikopo zaidi ya milioni 60m ipo mikononi mwa vijana wawili na wake zao na hao vijana ni marafiki wakubwa wa hao vijana wetu wanapika wanakunywa pamoja na taarifa wanazo lakini wao wanaahindwa kulipoti ilo tu Kwa idara usika?
HUU wizi tunao ambiwa unajitokeza Nina Imani tunao.vijana wetu pendwa Kwenye mawizara na taasisi zetu je hao vijana walioko uko wanafanya kazi gani kama wanaahindwa kuripoti mambo kama hayo kabla hayajatokea?
Nilichokibaini ni kuwa vijana tunao ila changamoto je wanauwezo wa kuchunguza na kuhoji dhidi ya wizi huo unapotokea?
Yote haya lazima tukubaliane mfumo wa ajira wa vijana wa idara hii unachangamoto kubwa sana

Kitendo Cha kuajili watoto wa wakubwa,vijana wa umoja wa vijana wa ccm ambao wengi wao ni form four failure ni kosa kubwa sana tuna vijana ambao hawana uwezo mfumo ubadilidilishwe
Jifundishe pakuweka R na pakuweka L.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom