Ni assignment based.... mfano umechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Yanga basi kuna jasusi anatumwa "kumweka sawa" ili kupitia hiko kiti aweze kupata taarifa za kijasusi. Fan base ya watu million 15 wanaweza mtumia mwenyekiti kupata nyaraka zote muhimu za mtu yoyote wanayetaka.
Hata ukiwa na kikundi mfano wasafi wanaweza kukutumia kama informant kujua drug rings zilizopo, money laundering schemes na mambo kama hayo maana obvious ukiwa msanii mkubwa una access na event organisers, sponsors, endorsements kibao.
Hata Maxence ni suala la muda tu atakua informant kama bado hajawa.