AiseeHujui ulitendalo. Jua jpm ndo aliharibu nchi hii na kuirudisha kwenye mstari itachukuwa ten years. Hakupenda transparency hivyo watu wakawa wanajipigia tu ndo mana ttcl imejiendesh kwa hasara na Bado wakawa wanalipa gawio the same to Atcl na trc. Angekuwepo jpm tusingesikia haya madudu. Amini nakwambia jpm alikuwa zaidi ya lucifer
Ni kweli Tanzania hakuna UZALENDO kuna*UNAFIKI*Duh!
Be serious πππ.... Sio Kila mtu ni TISS wengine ni informants tu wa kawaida.mzee mpili ni usalama wa taifa
Ni kweli dhana ya 'mchakato wa recruitment' unaweza kuwa sahihi. Nini kifanyike kuondoa dosari hizo?Recruit pool ni mbovu. Ndio maana tunapata product za hovyo
Ni kweli dhana ya 'mchakato wa recruitment' unaweza kuwa sahihi. Nini kifanyike kuondoa dosari hizo?
Umetazama dhana ya 'mamlaka' walionayo kwa mujibu wa sheria?
Matokeo ya recruitment hivi sasa ni juhudi za hao 'top cream' basi hata utendaji wao ni wa viwango vya juu kama ulivyo uwezo wao.Return to the basic. Miaka ya nyuma walikuwa very selective. Na walikuwa wanachukua top cream kutoka maeneo mbali mbali.
Kwanza lazima kuwepo na sheria ambayo ina forbid hii taasis kuhusika na siasa kwa namna yoyote ile. Wanasiasa wasiwe na access na hii taasis by any means.
Tunachokiona sasa ni politics kupenya too deep in such politicians wanaweza amua nani aingie kwenye taasis bila kujali quality ya wahusika
Matokeo ya recruitment hivi sasa ni juhudi za hao 'top cream' basi hata utendaji wao ni wa viwango vya juu kama ulivyo uwezo wao.
Upatikanaji wa kiongozi wake mkuu uweje, Achaguliwe kama Spika wa Bunge au ateuliwe kama ilivyo kwa nafasi za Jaji Mkuu na Wakuu wa Majeshi?
Matokeo ya recruitment hivi sasa ni juhudi za hao 'top cream' basi hata utendaji wao ni wa viwango vya juu kama ulivyo uwezo wao.
Upatikanaji wa kiongozi wake mkuu uweje, Achaguliwe kama Spika wa Bunge au ateuliwe kama ilivyo kwa nafasi za Jaji Mkuu na Wakuu wa Majeshi?
Hautakaa ufahamu kama siyo muajiriwa tena senior wa Idara.Kwani mishahara yao ina range ipi?
Informants wa kawaida anapataje access ya kuwasiliana na hao mabwana.Be serious πππ.... Sio Kila mtu ni TISS wengine ni informants tu wa kawaida.
Ni assignment based.... mfano umechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Yanga basi kuna jasusi anatumwa "kumweka sawa" ili kupitia hiko kiti aweze kupata taarifa za kijasusi. Fan base ya watu million 15 wanaweza mtumia mwenyekiti kupata nyaraka zote muhimu za mtu yoyote wanayetaka.Informants wa kawaida anapataje access ya kuwasiliana na hao mabwana.
Ili wengine wajue njia ya kuwasiliana nao.
Asante.
Sasa unapata faida gani kuwa informants?Ni assignment based.... mfano umechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Yanga basi kuna jasusi anatumwa "kumweka sawa" ili kupitia hiko kiti aweze kupata taarifa za kijasusi. Fan base ya watu million 15 wanaweza mtumia mwenyekiti kupata nyaraka zote muhimu za mtu yoyote wanayetaka.
Hata ukiwa na kikundi mfano wasafi wanaweza kukutumia kama informant kujua drug rings zilizopo, money laundering schemes na mambo kama hayo maana obvious ukiwa msanii mkubwa una access na event organisers, sponsors, endorsements kibao.
Hata Maxence ni suala la muda tu atakua informant kama bado hajawa.
Hautakaa ufahamu kama siyo muajiriwa tena senior wa Idara.
Siasa za CCM zineharibu Idara hiyo ambapo ilipaswa kuwa taasisi kamili kama ilivyo JWTZ na kadhalika....
Unazungumzia qualification!Hii idara ilikuwa bora 70s na 80s. Backthen recruitment ilikuwa makini mno. Today viongoz wa chama fulani wanaweza ingiza wanachama or watoto ambao hawana qualification kabisa, ndio hapo idara inapoharibika.
Tumefikaje hapa?
Bila Shaka Atakuwa kwenye kitengo kimojawapo au mstaafuTatizo jf unaruhusiwa tu kutoa like moja ingekuwa zaidi ya moja ningekupa zote kwa uchambuzi mzri