Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Asante!

Nimekuelewa boss.
 
Sasa unapata faida gani kuwa informants?
Na kwanini wakuone wewe kwenye kikundi kama cha wasafi chenye watu karibu 50.

Quality gani anakuwa nazo?

Asante.
Hakuna faida ila ni kwa faida ya wanaokutumia... in return unaweza pata compensation kama kulipwa, kupewa favors kadhaa n.k.

Kwanini wewe? Kwa mfano kama wanataka kumchunguza Mondi na endorsements deals zake kama zina chembechembe za utakatishaji fedha basi wanaangalia favorite dancer wake au pisi iliyo karibu naye kama zuchu n.k na kazi yako itaisha stage hiyo ya mission ikikamilika.

Hiyo sio permanent job ni kama task tu ya muda husika basi ila ukishatumbuliwa hiyo idara hawana haja na wewe tena.
 
Asante sana ndugu zitto.

Umeniongezea maarifa.
 

Faida inakuwepo wakati wa kutoa ushirikiano wako kwao ili kuzipata taarifa wazitakazo kwa muhusika au wahusika wao. Ikiwemo fedha kwa ajili ya kukamilisha missions kadhaa.

Mara nyingi wanafanya kukupa pesa nzuri ili kutuliza akili yako kwenye jambo lao, na kupunguza muda wako kwenye mambo yako Wakimalizana na wewe ndio mwisho wa kufaidika kwa muhusika.
 
Ni ujinga kwelikweli kama toilet paper ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ.

Na kama wanavigezo kwanini wasiajiliwe?
 
Naandika kwa herufi kubwa "KISASI NI TIBA YA STRESS" KISASI NI MUHIMU SANA TENA SANA.
 
Tiss OG hata akilewa huwa haropoki! huyo atakuwa Tiss wa Mchongo [emoji3][emoji3]
 
Unajielewa kweli ndugu?

Nikudokeze tu kwamba Lowassa mwaka huo alipelekwa pale kimkakati na yeye mwenyewe ni katika haohao ๐Ÿ˜Š

Acha kuongea kama umekatwa kichwa
 
Unajielewa kweli ndugu?

Nikudokeze tu kwamba Lowassa mwaka huo alipelekwa pale kimkakati na yeye mwenyewe ni katika haohao ๐Ÿ˜Š

Acha kuongea kama umekatwa kichwa
Kimkakati ndio nini? Mbona Maalim alishinda uchaguzi ukafutwa!! Mkakati unatumika pale tu unapotaka kushinda kihalali ila kumtumia Lowassa ilihali kura ziliibwa ndio nini sasa?

Ni sawa unasema unamtuma mwanamke kimkakati kuiba pesa kutoka kwa tajiri ila hapo hapo unatuma majambazi kuja na mabunduki kuteka na kuiba sasa ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ