Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
TAKUKURU ndio walikuja kiwazi ila mchakato wote ulikuwa chini ya tiss na walikuwa wanalipoti kwa PM na ilifikia kuna demu mmoja alikuwa anatoka na master plan wa huo upigaji alikuwa ni tiss aliyeajiriwa kitambo pale so mtangange ulikuwa hot ikabidi baadhi ya undercover wajioneshe wazi tu
Nasikia waliokuja hapo TPA Kigoma branch ni TAKUKURU sio TISS