Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na upande wa Lissu na Heche wa misimamo mikali unapata nguvu kwasababu ya hali halisi.
Sasa msije mkafikiri Lissu na group lake watakuwa barabarani na kuandamana wamegundua njia moja hatari sana. Lissu na timu yake sasa wanafanya kitu kimoja rahisi sana wanabadilisha Watanzania kwenye
1. Watanzania wanaelimishwa na kukubali sasa kwamba hakuna demokrasia na wawakilishi ni batili . Hivyo watawaambia wasishirikiane nao
2. Wananchi wataanza kuchukuwa sheria mikononi wawakilishi hawatakuwa na mvuto na wananchi wenyewe wataanza kufanya fujo mbali mbali. Mfano kuuwa watekaji,
3. Polisi haitakuwa jeshi la raia litakuwa kama jeshi la watawala
4. Umashuhuri wa Mama utapungua pale ambapo watu watakata tamaa na siasa
5. Maridhiano yatakuwa magumu zaidi maana wale watu wa kati watakuwa hawapo watabaki radical pekee
6. Plan ya upinzani ni kubadilisha watanzania kwanza kwa miaka kama mitatu hivi baada ya hapo watawala wataishia pa kwenda na hiyo ndiyo itatokea.