Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Hizi nazo ni taarifa za kutolewa na jeshi wanashindwaje kuwamaliza hao matapeli kimya kimya kama alivyokuwa anafanya Mwendazake nn Maana ya kusajili simu kwa vidole
 
Watanzania na Haswa Muhimili usio Rasmi yaani waandishi wa Habari/vyombo vya Habari vya Tanzania vinapaswa viwe na Uzalendo wa kuweka masilahi ya nchi yao Kwanza.
NCHI KWANZA........huo ndio uzalendo wa kweli.
Great! Nimekutumia vocha ya 5000.
 
Watanzania na Haswa Muhimili usio Rasmi yaani waandishi wa Habari/vyombo vya Habari vya Tanzania vinapaswa viwe na Uzalendo wa kuweka masilahi ya nchi yao Kwanza.
NCHI KWANZA........huo ndio uzalendo wa kweli.
Media ilisaidia Kenya kumwaga damu 2008, pia Rwanda na Burundi. Ndiyo maana West huwezi kuwa Journo hadi uwe na taaluma nyingine kwanza ili uandike news za taaluma yako tuuuuu kwasababu huko kuna check and balance toka kwa wanataaluma wenzako ambao ni nguli.
 
haya mambo si yalipaswa yasemwe na wizara ya ulinzi na is jeshi lenyewe? huko nyuma yalikuwa yanasemwa na waziri wa ulinzi au ye yote kwa niaba yake, huyu mabeyo ameamua kufanya hivi kwa kuwa rais na waziri wa ulinzi ni wanawake?
Ndugu yangu aliyeitisha Kikao ni mabeyo ama msemaji wa jeshi?
Jeshi Lina msemaji wake na ndio huyo hapo kaitisha Kikao, hivi kati u wa wizara na msemaji wa jeshi yupi kauli yake ni rasmi zaidi kwenye kutoa maelezo ya kijeshi
 
Sasa mbona tangazo la lilitolewa na viashilia vya wasi wasi sana? Ila ni jambo jema kuwataarifu umma maana najua ni wengi wametapeliwa.
Ila taarifa kama hiz sio za kuita waandishi ni kutoa taarifa za maandishi tu kwenye web yao na vyombo vya habar. Mbinu walioitumia inaibua sana hisia za watu juu ya usalama wa nchi kabla ata ya taarifa yenyewe kutolewa
 
Jeshi limechanganyikiwa [emoji12][emoji12][emoji12] yaani jeshi letu kuu na mkwara wote ule kumbe linaogopa matapeli, hakika inasikitisha.
Jeshi haliogopi tapeli yeyote ila inafanya hivi kwa faida ya vijana na wazazi wao wanaotaka kuandikishwa jeshi maana wanateseka sana na nafasi hizo na wengi hawafanikiwi
 
Ndugu yangu aliyeitisha Kikao ni mabeyo ama msemaji wa jeshi?
Jeshi Lina msemaji wake na ndio huyo hapo kaitisha Kikao, hivi kati u wa wizara na msemaji wa jeshi yupi kauli yake ni rasmi zaidi kwenye kutoa maelezo ya kijeshi
Soma vizuri nilichoandika. nimeanza kwa kuangalia historia na mwenenndo wa jeshi huko nyuma. usiniletee mihemuko h=yako ya kumpenda mabeyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…