Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Naamini itahusu habari za tishio la ugaidi kwasababu ya matukio yaliyotokea Uganda hivi katibuni, hapa kwetu hatuna shida na ugaidi tena inawezekana tuna hamu nao sana ndio maana tunawapa watu kesi za uongo.
Nilifikiri Jeshi wameamua kuchukua madaraka baada ya kuona mambo hayaendi vizuri kumbe ni huu unafiq wao tu.
 
What......!!!!!!!

Politicization of non political entities
Jeshi ni taasisi pana, ina kila fani na tasnia zote chini ya jua ndani yake. Rais ni mwanasiasa, ni askari namba moja (Amiri Jeshi Mkuu) hivyo Jeshi lina siasa ndani yake pia. Wagombea wote wa nafasi za Urais (ambao kimsingi ni Wanasiasa) lazima pia wafanyiwe vetting na Kamati ya Majeshi licha ya vetting za Chama na NEC. Lazima majeshi yamjuwe mtu ambaye wanaenda kufanya naye kazi (mtu anayeenda kuwacommand kama Amiri Jeshi Mkuu ana vigezo stahiki?). Jeshi linapotaka kushauriana na Rais kijeshi wanam-address kama #Afande-Amiri-Jeshi-Mkuu, linapotaka kuongea naye kiserikali wanam-address kama #Rais, hiyo ndiyo itifaki ya kijeshi.

Karibu Tarime.
 
Tunashukuru kwa maelezo yenu sasa wazazi na vijana wawe makini na matapeli.
 

Yaani uchambuzi wote kuhusu taarifa hii ulifanywa na akina Yericko Nyerere matokeo ndio haya ⁉️ Wacha tule ..... 🇹🇿
 
Yaani jeshi linaitisha press kulalamika! Hili nalo lilikuwa la press au ni kutoa Katazo la kawaida tu?
Tena wangefanya kwa maaandishi tu hilo katazo na ufafanuzi! ,kutisha na kushtuwa umma kumbe jambo la kawaida sana.
 
Kuwaweka watu hapo kumbe ni hilo tu wangesema wamewakamataa wahusika itakuwa bora.....jeshiiiiii buana naliheshimu lakina leo EMPTY kabisa
 
Wagombea wote wa nafasi za Urais (ambao kimsingi ni Wanasiasa) lazima pia wafanyiwe vetting na Kamati ya Majeshi licha ya vetting za Chama na NEC.
Sio kwa TZ otherwise JK au JPM wasingeigusa ikulu. Yaani JWTZ inajua Rais yupo unfit kiafya ikubali agombee?

TZ ni kwamba Nyerere alijaza CCM kwenye taasisi zote so ni viceversa, kabla hujawa promoted JWTZ, hao CCM nao wanataka uwahakikishie maslahi yao kwanza.

Kma JWTZ ipo na vetting JK alifaa kuliko Dr.Slaa??
 
SUKUMA GANG walidhani chizi pole pole anaenda kusimikwa na jeshi kuwa kiongozi was mpito,,,,, Wamepigwa za Chembeeeeee!!!
 
Nikajua wataongelea ishu za Mtwara huko.
Mtwara ni salama kuliko maelezo ya maneno matupu, ni salama kama Amboni na Kibiti zilivyo salama. Wiki iliyopita nilikuwa huko nikashuhudia malori makubwa kwa madogo yana cross mpaka kupitia daraja la Umoja zikiwa na shehena za korosho kuletwa bandari ya Mtwara ambayo ndiyo iko karibu na Cabo Delgado kuliko bandari ya Beira. Ilipo JWTZ huwa ni salama siku zote, aliye jirani na Tz yuko salama siku zote.

"Natamani ningekuwa Mjumbe kwenye mkutano wa Berlin wa kuligawa bara la Afrika ningewaomba Wakoloni waifanye Southern Rhodesia ipakane na Tanzania, Joshua Mqabuko Nyongolo Nkomo, akihutubia Kamati ya Ulinzi na Usalama ya ZAPU (siyo ZANU PF) enzi za vita ya uhuru" Nukuu isiyo rasmi.

Feel blessed to be Tanzanian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…