kuna mji umepangwa kama Dodoma hapa Tanzania? upangaji gani unaoongelea? wale watu wa ikulu ni watu wa kawaida tu tena wameomba hata kura kwako na wakimaliza izo kazi watahama ikulu. ungekazana kuongelea maendeleo ya watu masikini huku mtaani badala ya kupambana ikulu ijitenge wakati watu wa ikulu hawana shida kabisa za maisha na yale wanayopitia wananchi hapa hayapo kwao, wewe unapigania ikulu wakati hata ikulu hautakuja kwenda hadi utakapokufa ila ndugu zako huku mtaani wana shida. halafu watu wa ikulu wenyewe wala hawana shida wanaona poa tu ila wewe wa manzese huko unahangaika kama kuku anataka kutaga mayai.