Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Kile kitengo kilichokuwa kinaitwa cha mipango miji enzi ya Mwalimu Nyerere sijui kili ishia wapi?
Nafikiri kinastahili kirudishwe haraka kwani Miji yetu inaenda kutugharimu sana hapo baadae kwa huu ujenzi wa hovyo hovyo unaendelea katika miji mbalimbali kama uyoga......
 
Hapa mnaonesha chuki zenu za kipumbavu tu
Jiwe aliua, alipora, alipiga watu risasi, alionea watu na kutukana watu hadharani. Hukutaona haya? Je, yanafaa kufanywa na rais?

Maboksi lukuki yamekutwa chumbani kwake baada ya kifo chake. Hii ni sawa?

Aliweka pesa za plea bargaining kwenye akaunti zake binafsi huko China. Huu ni uzalendo?

Jiwe afe tena huko aliko.
 
ikulu ikikaa pake yake wewe unaongezeka nini au ikizungukwa na watu wewe unapungukiwa nini.
Sasa unafikiria White House ingekuwa imezungukwa na makazi ya walalahoi na iko changanyikeni ingevutia hata watu kwenda kutalii na kupiga picha??
na
 
ikulu ikikaa pake yake wewe unaongezeka nini au ikizungukwa na watu wewe unapungukiwa nini.

na
Unaelewa maana ya upangaji miji au kwa nini makazi ya binadamu yanatakiwa kupangwa kwa utaratibu maalumu?? Unaelewa kwa nini nyumba unayouziwa mbagala milioni 70 unaweza kuuziwa Masaki kwa bilioni 2??
 
kuna mji umepangwa kama Dodoma hapa Tanzania? upangaji gani unaoongelea? wale watu wa ikulu ni watu wa kawaida tu tena wameomba hata kura kwako na wakimaliza izo kazi watahama ikulu. ungekazana kuongelea maendeleo ya watu masikini huku mtaani badala ya kupambana ikulu ijitenge wakati watu wa ikulu hawana shida kabisa za maisha na yale wanayopitia wananchi hapa hayapo kwao, wewe unapigania ikulu wakati hata ikulu hautakuja kwenda hadi utakapokufa ila ndugu zako huku mtaani wana shida. halafu watu wa ikulu wenyewe wala hawana shida wanaona poa tu ila wewe wa manzese huko unahangaika kama kuku anataka kutaga mayai.
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Maswala ya usalama ni taaluma. Wewe hujui raia(civilians in case ya migogoro ya silaha) ni kinga?
 
hivi Ikulu kupelekwa Chamwino kote kule tena karibu na ulinzi wa JW, jamaa anaona wamechangamana. alitaka waipeleke karibia Kondoa wakakae peke yao huko. kutoka chamwino hadi Dodoma airport ni safari ndefu inamaliza mafuta kwanza. walitakiwa waisogeze karibia na nanenane pale. hata hivyo, kule walikoijenga ni eneo kubwa mno kiasi cha kufanya pawe kama mbuga ya wanyama ndogo.pakubwa.
 
Hiyo siyo hoja yangu. Hata ikulu ya DRC ipo hivyo ila haijazungukwa na makazi ya wananchi. Likitokea siku utakuja kuelewa hoja yangu
Wewe umeona ukuta wa ikulu pale kutoka ukuta mpaka ikulu ni umbali kutoka mbezi na posta kilometa 20 na nyuma ya ikulu ni Kambi ya jeshi
 
Hizi ni athari za kuangalia sana movie na kusoma stori za Habib Anga. Acheni kuwaona viongozi kama vile sio binadamu. Rais HH wa Zambia anaishi mtaani kwake, Ikulu anaenda tu ofisini. Rais mstaafu Lungu na makamu mstaafu hao ndo wako kitaa kabisa. Kwa mfano huyo Makamu wa rais mstaafu huendesha mwenyewe gari na hana msafara. Vijana mambo ya kwenye movie muache kwenye movie.
 
Safari ya kuifikisha nchi hii kwenye maisha bora ni ndefu sana,why mkuu uhangaike na ikulu kuzungukwa na makazi ya watu?,tatizo lipo wapi?au ndio wale wale wanaowaona ma no 1 wetu kama miungu wadogo?,President wa Botswana alikua anatumia pikipiki kusafiri na ana ride mwenyewe, state house pale GABS imezungukwa na makazi, Union Building pale Arcadia ya SA imezungukwa na watu na ruhusa ipo kuingia mle,state house pale Newlands Capetown ukuta wake ni public parking!!,loo middle class wangu ni shida,hangaika kutafuta fedha
Wanaangalia sana movie na series
 
La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.
Hapa manyoko nimecheka kwa hio bunge limezungukwa na wachoma mishikaki na wachoma viazi na wachoma mahindi, mamaamina
 
Ingefaa iwe imezingukwa na msitu mnene wa miti ya kupandwa , afuu upande flan. Mmoja unabaki kama public gallery ,au public open space
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Kuhusu mambo ya mipango miji tupo zero kabisa nchi hii sijui ni kitu gani?
 
Hivi Chamwino gani mnaongelea?
Ile ikulu ya Nyerere pale juu mlimani watu tushagongwa sana na nyuki pale.
Kulikua hamna mtu anafika kule
Sikuwai kuona makazi ya watu, labda uteremke huku barabarani hombolo,
Labda wamejenga baadae.
Ila kule hata eneo sio rafiki kwa makazi ya watu.
Kulikua na nyoka kila aina pale miaka hiyo.
Imejitenga.
Jiwe JPM kapiga picha
Tulishaota jua sana palepale.
Sasa km kuna raia wamejenga jirani km hawatakiwi wahamishwe tu.
Sijui siku hizi iko vp ujenzi miundo mbinu
ila km ni pale Chamwino Ikulu ya zamani tushafika kitambo.
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Makamba bhana!
 
Back
Top Bottom