Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
mkuu, wewe tu ndio hauna akili, ni kopo kabisa. tuonyeshe hivyo vibanda vya chips dodoma kuzunguka bunge vipo wapi, pia unafikiri ni ufahari gani kuiweka ikulu iwe kama mbingu ujitenge kabisa na wanadamu wengine, why? ikulu ya south africa unaweza kupiga nayo hata picha, hata ya marekani. ila wewe wa kajambanani unaongea vitu usivyovijua.
 
ikulu ya USA white house kwanzia saa 2 asubuhi hadi saa 6 na nusu mchana unaruhusiwa kwenda kutalii muda mrefu raia wamejaa ikulu kama kukaa mbali na watu ndo ulinzi wangeanza jamaa wa Washington kuzuia raia wasisogee
Je ikulu ya Marekani imezungukwa na makazi ya watu?
 
mkuu, wewe tu ndio hauna akili, ni kopo kabisa. tuonyeshe hivyo vibanda vya chips dodoma kuzunguka bunge vipo wapi, pia unafikiri ni ufahari gani kuiweka ikulu iwe kama mbingu ujitenge kabisa na wanadamu wengine, why? ikulu ya south africa unaweza kupiga nayo hata picha, hata ya marekani. ila wewe wa kajambanani unaongea vitu usivyovijua.
Ikulu za South Afrika na Marekani zipo jirani na makazi ya watu/raia?
 
kwani ikiwa jirani, wewe unawashwa nini? wale wanaokaa ikulu sio binadamu kama wewe? au unafikiri usalama wa nchi upo ikulu tu? mbona ofisi za serikali zipo hukuhuku mtaani, au niseme mbona maofisa wa ikulu au wa sehemu nyeti za serikali wanaishi hukuhuku mtaani, kama wameamua kuhatarisha maisha ya huyo rais watashindwa nini?
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
mshamba Chato huyo, halafu mbishi hashauriki. Kulikuwa kuna ulazima gani ramani ya Magogoni itumike ktk ikulu mpya? Ramani ya tangia wakati wa mjerumani itumike leo?
 
Haya mambo lazima tuende kwa kuwajibishana ili watu watue ujinga sio kitu kizuri

Mbona ikulu ipo ferry, na chuo cha nagogoni, na hospital ya ocean road? Hayo maeneo si yana wananchi masaa yote. Na wat wana nyumba kuzunguka yaan garden view? Umefika uone wATU WALIVYO KARIBU NA IKULU YA DAR. WALE NDEGE SI WANAZUNGUKA MAKAO YA Watu? Kwani ikulu hawataki majirani wazungumze nao? Unataka waishi bila kuwaona wananchi wa karibu wanaowangoza mpaka waende kuwatafuta mbsli.
 
Chuo cha magogoni au ferry ni makazi ya watu ?
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Kivipi!?
 
Hiyo siyo hoja yangu. Hata ikulu ya DRC ipo hivyo ila haijazungukwa na makazi ya wananchi. Likitokea siku utakuja kuelewa hoja yangu
Kuhusu usalama nafikiri nimeshatolea ufafanuzi kwenye maandiko yangu yaliyotangulia, labda kama una hoja nyingine.
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Picha tuone
 
Mbona ikulu ipo ferry, na chuo cha nagogoni, na hospital ya ocean road? Hayo maeneo si yana wananchi masaa yote. Na wat wana nyumba kuzunguka yaan garden view? Umefika uone wATU WALIVYO KARIBU NA IKULU YA DAR. WALE NDEGE SI WANAZUNGUKA MAKAO YA Watu? Kwani ikulu hawataki majirani wazungumze nao? Unataka waishi bila kuwaona wananchi wa karibu wanaowangoza mpaka waende kuwatafuta mbsli.
Hayo maeneo sio sawa na makazi ya uswahilini. Ikulu ni vizuri izungukwe na vitu standards vya hadhi fulani.
 
mkuu, wewe tu ndio hauna akili, ni kopo kabisa. tuonyeshe hivyo vibanda vya chips dodoma kuzunguka bunge vipo wapi, pia unafikiri ni ufahari gani kuiweka ikulu iwe kama mbingu ujitenge kabisa na wanadamu wengine, why? ikulu ya south africa unaweza kupiga nayo hata picha, hata ya marekani. ila wewe wa kajambanani unaongea vitu usivyovijua.
Sasa unafikiria White House ingekuwa imezungukwa na makazi ya walalahoi na iko changanyikeni ingevutia hata watu kwenda kutalii na kupiga picha??
 
Prof. Kitila Mkumbo nimemuelewa sana aliposema serikali iachane namaamuzi ya kishujaa, badala yake ufanye maamuzi ya kitaslamu.

Hapa alikuwa anampiga dongo jiwe ambaye ndiye anafahamika sana kwa kufanya maamumuzi ya kishujaa kama huo ujenzi wa ikulu iliyozungukwa na makazi ya watu. That idiot was pathetic!
 
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana

Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.

Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.

Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?

Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?

Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?

Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika

La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.

Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Ni Engineer na Mwanasayansi Mwendazake 🤣🤣
 
Back
Top Bottom