Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Klemrin tu ambako pana ulinzi putin kakoswa koswa. Pata picha ikulu ya Urusi ingekuwa karibu na makazi ya wananchi leo hii ingekuwaje?Yaani mumchague mtu halafu aanze kuwaogopa?
Wananchi wa kawaida ni salama zaidi kuliko kupakana na nyumbu kama wewe!Kwa akili yako ni salama ikulu kupakana na makazi ya wananchi?
Basi una shida kichwani pako
Ni raha sana mtu kuwa jirani na Rais ila ni hatari sana kwa RaisWeee huoni raha kuwa jirani wa Raisi????
Kumbe upeo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo? Basi uwe na siku njemaWananchi wa kawaida ni salama zaidi kuliko kupakana na nyumbu kama wewe!
Du wewe noma sasa ulitaka azungukwe na Mbuga za wanyama??? Hebu tutajie hizo nchi ulizofika na kukuta raisi kazungukwa na kambi za police au jeshi??? Ukiondowa hizi za Africa watawala miungu watu....Usiwaabudu sana hawa viongozi wanaotutesa ushuru mkubwa ukiagiza gari, bara bara mashimo matupu...South africa tu hapo Ikulu yao kuna Garden na watu wanajimwaga kama kawaida na ni Africa hii....Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana
Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.
Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.
Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?
Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?
Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?
Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika
La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.
Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Kwani Ikulu ya Urusi imepakana na mbingu au?Klemrin tu ambako pana ulinzi putin kakoswa koswa. Pata picha ikulu ya Urusi ingekuwa karibu na makazi ya wananchi leo hii ingekuwaje?
Wewe ni zero kwenye mambo ya ulinziKumbe upeo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo? Basi uwe na siku njema
Sawa wewe kichwa kwenye mambo ya ulinzi uliyependekeza ikulu iwe karibu na makazi ya wananchiWewe ni zero kwenye mambo ya ulinzi
Inashangaza kweli kweli.....hao architectures walioandaa hizo ramani huenda walipitiwa.Jengo lenyewe la Ikulu usanifu kama wa lkulu ya Magogoni, inasikitisha na hii ni athari ya "Mamlaka ya Rais".
Pia Jengo la Bunge Kuna uhaba mkubwa wa nafasi kabisa wakati Dodoma haina uhaba wa ardhi.
Tujikite kwenye ripoti ya CAG umbwale koko weweWatanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana
Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana.
Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais kufanya umafia na kutokomea bila hata kukamatwa alafu ndo tunakuja kuunda tume kujua tatizo kumbe hatushughulishi akili zetu kwa wakati sahihi.
Nani aliyesema Chamwino kwenye Ikulu pazungukwe na Makazi ya watu binafsi? Waliopendekeza hili hawakuona hatari yake?
Nani alipendekeza Mji wa Serikali ujengwe Mtumba na sio Chamwino?
Kwa sehemu nyingi duniani makazi ya Rais yanazungukwa na Ofisi Kuu za Serikali na hata makazi ya viongozi wa Kiserikali na sio watu binafsi. Kujenga mji wa Serikali sehemu tofauti alafu kuweka ikulu kwenye makazi ya watu hawakuona hili linaweza kuleta matatizo siku moja?
Kiuhalisia Mji wa Serikali na Makazi ya Viongozi wa Serikali vyote vilitakiwa kuwepo Chamwino na kuzungukwe na kambi za Jeshi ila kwa Dodoma haya hayajafanyika
La kunichekesha zaidi ni Jengo la Bunge. Hili Jengo lipo sehemu ya ajabu kabisa. Nje kuna vibanda vya chips na makazi holela. Inafika hadi wabunge wanakosa sehemu za kupaki magari na mwishowe kusababisha msongamano mkubwa sana kipindi cha Bunge.
Kusema kweli kwa watu wasio na akili wataifurahia Dodoma ila kwa wenye akili na wanaoona mbali Dodoma itakuja kuligharimu sana Taifa siku za mbeleni mbeleni!
Hakuna usalama wala nini. Ni wananchi tena hadi wanakijijiHao unaowaona hapo si watu wa kawaida ni usalama wa taifa alisikika mnyonge mmoja
Hutaki fidia?,hizo ndio returning za kodi,Haya mambo lazima tuende kwa kuwajibishana ili watu watue ujinga sio kitu kizuri
Ikulu ipi ambayo haiko karibu na makazi ya wananchi? Na kuwa karibu ni meter au kilometer ngapi?Sawa wewe kichwa kwenye mambo ya ulinzi uliyependekeza ikulu iwe karibu na makazi ya wananchi
Fidia sawa. Ila hawa wanaosababisha huo usumbufu utokee lazima tuweke utaratibu wa kuwawajibishaHutaki fidia?,hizo ndio returning za kodi,
Kwa hiyo usalama wa Rais upo kwenye makazi yake ya kuushi tu? kama kuna njama yoyote inafanyika dhidi yake ni lazima afuatwe Ikulu?Kwa akili yako ni salama ikulu kupakana na makazi ya wananchi?
Basi una shida kichwani pako
Usalama kwa kiongozi mkuu unapaswa kuwa sawa mahali popote paleKwa hiyo usalama wa Rais upo kwenye makazi yake ya kuushi tu? kama kuna njama yoyote inafanyika dhidi yake ni lazima afuatwe Ikulu?
Matukio mangapi Rais anahudhuria ambayo usalama wake ni mdogo endapo kuna njama dhidi yake?
Chukulia mfano hata kwenye matamasha na sherehe mbalimbali ambazo Rais huwa kama mgeni rasmi alafu jiulize kama ni salama endapo kuna njama ya kumuangamiza..