Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #121
Shida haya makosa yanatufanya nchi nzima tuonekane hatuna akili. Mbaya zaidi yanaweza kuja kutugharimu Big timeWacha wakosee tulpiwe,hayo makosa yanamalengo,walengwa ni wao,mimi na wewe,mbaya kupigwa kimya
Sahihi kabisaIngefaa iwe imezingukwa na msitu mnene wa miti ya kupandwa , afuu upande flan. Mmoja unabaki kama public gallery ,au public open space
Kama wewe ni Mungu basi sawa hatokuja kukanyaga Ikulukuna mji umepangwa kama Dodoma hapa Tanzania? upangaji gani unaoongelea? wale watu wa ikulu ni watu wa kawaida tu tena wameomba hata kura kwako na wakimaliza izo kazi watahama ikulu. ungekazana kuongelea maendeleo ya watu masikini huku mtaani badala ya kupambana ikulu ijitenge wakati watu wa ikulu hawana shida kabisa za maisha na yale wanayopitia wananchi hapa hayapo kwao, wewe unapigania ikulu wakati hata ikulu hautakuja kwenda hadi utakapokufa ila ndugu zako huku mtaani wana shida. halafu watu wa ikulu wenyewe wala hawana shida wanaona poa tu ila wewe wa manzese huko unahangaika kama kuku anataka kutaga mayai.
Cha ajabu zaidi hawa viongozi wetu kila siku wanatembea huko ughaibuni na wanaona jinsi miji imepangwa ikapendeza na kuvutia.Kuhusu mambo ya mipango miji tupo zero kabisa nchi hii sijui ni kitu gani?
Lissu asingepigwa RisasiLissu au Mbowe watakuwa ni Marais wa watu kwa sababu watapendwa sana na Watanzania.