Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!
Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!
Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza mawazo na matamaanio yetu kuwa vitendo.
Bashe anatuhumiwa kuzipa tenda kampuni ambazo zinasemekana kutokuwa na sifa...
Kwa ufupi kabisa hizo ndio tuhuma.
Sasa maswali ya msingi!
1. Je kampuni hizo zimedeliver? Yani zimetekeleza makubaliano zilizoingia.
JIBU; Ni ndio tena kwa 100%
2. Je kuna wizi wowote ulioonyeshwa na yeyeto anayetuhumu ukianzia na Mpina?
JIBU; Hakuna wizi wa hata senti tano moja mbovu
SASA HIZI KELELE NI ZA NINI?
Kelele ni juu ya rangi ya paka na sio ufanisi wa paka.
Ukiangalia Upande wa Sukari, na hapa ukweli tu Usemwe...kabla ya Bashe hali ilikuwa mbaya Sana!
Nani hakumbuki kilichotokea wakati wa Mwendazake?
Hayo yanayoonekana ni makampuni yenye sifa yalifanya nini?
Kuna sehemu kilo iliuzwa elfu 8 na sukari ikawa haipatikani.
Viongozi wote wa serikali wakaingia mtaani kutafuta sukari na tochi mchana.
Hili hatulikumbuki?
Mnyonge mnyongini ila haki yake mpeni!
Sometimes, na hili mimi naliafiki, Kuna haja ya kuachana na mazoea...Hawa wanaoitwa wakongwe na wenye sifa.. wana-practice za kimazoea. Ndio walafi kupitiliza na ndio shida kubwa ambayo hata mwendazake ilimtoa jasho.
Wanaingiza sukari kweli ila hawajawahi kutosheka na faida. Hata sukari ikiwa hapa bado wanatengeneza 'uhaba/ scarcity' ili tu faida iwe mara dufu.
Sasa Kama Kuna paka mweusi na anakamata panya, shida iko wapi!
Unang'ang'ana na paka mwenye rangi nzuri ili ajisaidie ndani halafu wapeane tano na panya?