Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

Bashe angewapa hela wenye akili ili wamtetee humu!! Wewe na hao wenzako wawili mmejileta humu kuzidi kumharibia zaidi!! Mmeendelea kuthibitisha kwamba ni kweli alikiuka taratibu ila mmeunganishwa na upumbavu mmoja kwamba sukari imeshuka Bei!! Puumbavu kabisa, mnatunywesha sumu
Taratibu zipi zilikiukwa..
Swala ni kuwa watu wamekariri! Mazoea!
Kwamba fulani ndio lazima aingize sukari..
Akiingiza mtu mwingine inakuwa sumu..
Kwani hao waliokuwa wanaingiza mwanzo, ambao ndio wapiga kelele kwa Sasa..walikua wanaimwagia sukari maji ya upako ili kutoa sumu?
 
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!

Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!

Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza mawazo na matamaanio yetu kuwa vitendo.

Bashe anatuhumiwa kuzipa tenda kampuni ambazo zinasemekana kutokuwa na sifa...
Kwa ufupi kabisa hizo ndio tuhuma.

Sasa maswali ya msingi!
1. Je kampuni hizo zimedeliver? Yani zimetekeleza makubaliano zilizoingia.
JIBU; Ni ndio tena kwa 100%

2. Je kuna wizi wowote ulioonyeshwa na yeyeto anayetuhumu ukianzia na Mpina?
JIBU; Hakuna wizi wa hata senti tano moja mbovu

SASA HIZI KELELE NI ZA NINI?
Kelele ni juu ya rangi ya paka na sio ufanisi wa paka.

Ukiangalia Upande wa Sukari, na hapa ukweli tu Usemwe...kabla ya Bashe hali ilikuwa mbaya Sana!
Nani hakumbuki kilichotokea wakati wa Mwendazake?
Hayo yanayoonekana ni makampuni yenye sifa yalifanya nini?
Kuna sehemu kilo iliuzwa elfu 8 na sukari ikawa haipatikani.
Viongozi wote wa serikali wakaingia mtaani kutafuta sukari na tochi mchana.
Hili hatulikumbuki?

Mnyonge mnyongini ila haki yake mpeni!
Sometimes, na hili mimi naliafiki, Kuna haja ya kuachana na mazoea...Hawa wanaoitwa wakongwe na wenye sifa.. wana-practice za kimazoea. Ndio walafi kupitiliza na ndio shida kubwa ambayo hata mwendazake ilimtoa jasho.
Wanaingiza sukari kweli ila hawajawahi kutosheka na faida. Hata sukari ikiwa hapa bado wanatengeneza 'uhaba/ scarcity' ili tu faida iwe mara dufu.

Sasa Kama Kuna paka mweusi na anakamata panya, shida iko wapi!
Unang'ang'ana na pakma mwenye rangi nzuri ili ajisaidie ndani halafu wapeane tano na panya?
If there is an opportunity to do business and you do not have money we use opm, (other peoples money), Kama umepata fursa ya biashara kama huna mtaji unatumia pesa za watu wengine
 
Shame on us black skin low IQ!
Ume generalize sana mkuu, hapa kwa jinsi ulivyoandika, ulipaswa ujiweke nafsi yako tu.
  • Kampuni zisizo na sifa yoyote kupewa tender, kuna akisi utawala bora na wa sheria?
  • Kufufua kampuni zilizokufa, zisizolipa kodi na kuzipa tender ya serikali kinyume na sheria na taratibu zote kabisa ni sawa?
  • Kuondolewa kwa kodi kwao kisha kuendelea kwa bei ya juu zaidi ndio ku-deliver kwa 100% ?
  • Kuagiza sukari karibu sawa na mahitaji ya nchi na si according to gap lililopo, si ufisadi?
  • Sukari inunuliwe na kampuni A, itolewe na kuuzwa na kampuni C, bado tu akili yako inakuambia wewe ni genius?

Yako mengi ila itoshe kusema, Uchu, Uchawa na Makalio sio tools muhimu kutumia kwenye kujenga fikra sahihi!
 
Ni rahisi kuandika takataka
Sasa thibitisha Kama ni takataka
Nithibitishe ujinga ulioandika hapa kwasababu ipi?

Bashe mtuhumiwa mkuu mpaka leo amejificha chooni hajatoka kukanusha ile taarifa ya Mpina, wewe mtumwa wa msomali ndio unisumbue kichwa kuthibitisha huu ujinga unaoandika hapa?!

Wacha utoto.
 
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!

Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!

Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza mawazo na matamaanio yetu kuwa vitendo.

Bashe anatuhumiwa kuzipa tenda kampuni ambazo zinasemekana kutokuwa na sifa...
Kwa ufupi kabisa hizo ndio tuhuma.

Sasa maswali ya msingi!
1. Je kampuni hizo zimedeliver? Yani zimetekeleza makubaliano zilizoingia.
JIBU; Ni ndio tena kwa 100%

2. Je kuna wizi wowote ulioonyeshwa na yeyeto anayetuhumu ukianzia na Mpina?
JIBU; Hakuna wizi wa hata senti tano moja mbovu

SASA HIZI KELELE NI ZA NINI?
Kelele ni juu ya rangi ya paka na sio ufanisi wa paka.

Ukiangalia Upande wa Sukari, na hapa ukweli tu Usemwe...kabla ya Bashe hali ilikuwa mbaya Sana!
Nani hakumbuki kilichotokea wakati wa Mwendazake?
Hayo yanayoonekana ni makampuni yenye sifa yalifanya nini?
Kuna sehemu kilo iliuzwa elfu 8 na sukari ikawa haipatikani.
Viongozi wote wa serikali wakaingia mtaani kutafuta sukari na tochi mchana.
Hili hatulikumbuki?

Mnyonge mnyongini ila haki yake mpeni!
Sometimes, na hili mimi naliafiki, Kuna haja ya kuachana na mazoea...Hawa wanaoitwa wakongwe na wenye sifa.. wana-practice za kimazoea. Ndio walafi kupitiliza na ndio shida kubwa ambayo hata mwendazake ilimtoa jasho.
Wanaingiza sukari kweli ila hawajawahi kutosheka na faida. Hata sukari ikiwa hapa bado wanatengeneza 'uhaba/ scarcity' ili tu faida iwe mara dufu.

Sasa Kama Kuna paka mweusi na anakamata panya, shida iko wapi!
Unang'ang'ana na paka mwenye rangi nzuri ili ajisaidie ndani halafu wapeane tano na panya?
Kutoka Kilo kuuzwa 3000 mpaka 5000-7000 ndo unasema Bei imeimarika na kuoatikana kiurahisi?? Ingekuwepo tume huru usingesema hivyo.
 
Thread hii na michango ya baadhi ya Wabunge kuendelea kupongeza 'madudu' ya Bashe yaliyochini ya tuhuma za ufisadi ambazo zimeundiwa tume ya maadili na haki ya Bunge kuzichunguza na uchunguzi huo haujatoa majibu, ni dalili za ufinyu wa ufahamu ama ni kampeni ya kifisadi ya makusudi ya kuvuruga jambo hili lisifikie mustakabali wa uchunguzi wake na kuleta najibu ya kweli na haki.
 
Ume generalize sana mkuu, hapa kwa jinsi ulivyoandika, ulipaswa ujiweke nafsi yako tu.
  • Kampuni zisizo na sifa yoyote kupewa tender, kuna akisi utawala bora na wa sheria?
  • Kufufua kampuni zilizokufa, zisizolipa kodi na kuzipa tender ya serikali kinyume na sheria na taratibu zote kabisa ni sawa?
  • Kuondolewa kwa kodi kwao kisha kuendelea kwa bei ya juu zaidi ndio ku-deliver kwa 100% ?
  • Kuagiza sukari karibu sawa na mahitaji ya nchi na si according to gap lililopo, si ufisadi?
  • Sukari inunuliwe na kampuni A, itolewe na kuuzwa na kampuni C, bado tu akili yako inakuambia wewe ni genius?

Yako mengi ila itoshe kusema, Uchu, Uchawa na Makalio sio tools muhimu kutumia kwenye kujenga fikra sahihi!
Mimi hapo sioni hoja..
Kampuni isiyo na sifa according to who?
Wewe kwanini unahisi haina sifa wakati imeleta sukari? Kinachotakiwa si sukari? Na si imeletwa? Wewe ulitaka wawe na sifa gani zaidi?

Suala la kampuni moja kuwa supplier na kampuni nyingine kuwa distributor mbona ni kawaida Sana kwenye logistics... Wewe unataka kampuni moja ipambane kwenye chain yote ya supply?
Kwanini kwanza!
 
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!

Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!

Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza mawazo na matamaanio yetu kuwa vitendo.

Bashe anatuhumiwa kuzipa tenda kampuni ambazo zinasemekana kutokuwa na sifa...
Kwa ufupi kabisa hizo ndio tuhuma.

Sasa maswali ya msingi!
1. Je kampuni hizo zimedeliver? Yani zimetekeleza makubaliano zilizoingia.
JIBU; Ni ndio tena kwa 100%

2. Je kuna wizi wowote ulioonyeshwa na yeyeto anayetuhumu ukianzia na Mpina?
JIBU; Hakuna wizi wa hata senti tano moja mbovu

SASA HIZI KELELE NI ZA NINI?
Kelele ni juu ya rangi ya paka na sio ufanisi wa paka.

Ukiangalia Upande wa Sukari, na hapa ukweli tu Usemwe...kabla ya Bashe hali ilikuwa mbaya Sana!
Nani hakumbuki kilichotokea wakati wa Mwendazake?
Hayo yanayoonekana ni makampuni yenye sifa yalifanya nini?
Kuna sehemu kilo iliuzwa elfu 8 na sukari ikawa haipatikani.
Viongozi wote wa serikali wakaingia mtaani kutafuta sukari na tochi mchana.
Hili hatulikumbuki?

Mnyonge mnyongini ila haki yake mpeni!
Sometimes, na hili mimi naliafiki, Kuna haja ya kuachana na mazoea...Hawa wanaoitwa wakongwe na wenye sifa.. wana-practice za kimazoea. Ndio walafi kupitiliza na ndio shida kubwa ambayo hata mwendazake ilimtoa jasho.
Wanaingiza sukari kweli ila hawajawahi kutosheka na faida. Hata sukari ikiwa hapa bado wanatengeneza 'uhaba/ scarcity' ili tu faida iwe mara dufu.

Sasa Kama Kuna paka mweusi na anakamata panya, shida iko wapi!
Unang'ang'ana na paka mwenye rangi nzuri ili ajisaidie ndani halafu wapeane tano na panya?
Huwezi kujenga hoja bila kumtaja mwendaZake? Nchi Ina mahecta ya kulima miwa then unaagiza sukari kutoka nje ya nchi? Shame on you
 
That's sure! Na ndio biashara kote duniani zinavyofanyika
Tena una mshirikisha kikamilifu mwenyewe pesa mnagawana faida baada hapo unauweka mgongo vizuri kwenye kiti, (sofa), hiyo habari eti walikuwa hawana mtaji ni hoja ya kitoto, ukitaka kufanya biashara unatumia opp na opm, opp is other people's property while opm is other people's money,
 
Huwezi kujenga hoja bila kumtaja mwendaZake? Nchi Ina mahecta ya kulima miwa then unaagiza sukari kutoka nje ya nchi? Shame on you
Kwahiyo unataka Bashe akaoteshe miwa?
 
Unachunguzaje matako ya mbuzi wakati uko nyuma yake.. happy hamna kitu cha kuchunguza. Ni kupoteza muda na pesa

Back
Top Bottom