Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!

Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!

Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza mawazo na matamaanio yetu kuwa vitendo.

Bashe anatuhumiwa kuzipa tenda kampuni ambazo zinasemekana kutokuwa na sifa...
Kwa ufupi kabisa hizo ndio tuhuma.

Sasa maswali ya msingi!
1. Je kampuni hizo zimedeliver? Yani zimetekeleza makubaliano zilizoingia.
JIBU; Ni ndio tena kwa 100%

2. Je kuna wizi wowote ulioonyeshwa na yeyeto anayetuhumu ukianzia na Mpina?
JIBU; Hakuna wizi wa hata senti tano moja mbovu

SASA HIZI KELELE NI ZA NINI?
Kelele ni juu ya rangi ya paka na sio ufanisi wa paka.

Ukiangalia Upande wa Sukari, na hapa ukweli tu Usemwe...kabla ya Bashe hali ilikuwa mbaya Sana!
Nani hakumbuki kilichotokea wakati wa Mwendazake?
Hayo yanayoonekana ni makampuni yenye sifa yalifanya nini?
Kuna sehemu kilo iliuzwa elfu 8 na sukari ikawa haipatikani.
Viongozi wote wa serikali wakaingia mtaani kutafuta sukari na tochi mchana.
Hili hatulikumbuki?

Mnyonge mnyongini ila haki yake mpeni!
Sometimes, na hili mimi naliafiki, Kuna haja ya kuachana na mazoea...Hawa wanaoitwa wakongwe na wenye sifa.. wana-practice za kimazoea. Ndio walafi kupitiliza na ndio shida kubwa ambayo hata mwendazake ilimtoa jasho.
Wanaingiza sukari kweli ila hawajawahi kutosheka na faida. Hata sukari ikiwa hapa bado wanatengeneza 'uhaba/ scarcity' ili tu faida iwe mara dufu.

Sasa Kama Kuna paka mweusi na anakamata panya, shida iko wapi!
Unang'ang'ana na paka mwenye rangi nzuri ili ajisaidie ndani halafu wapeane tano na panya?
INAWEZEKANA UNA HOJA ILA UMEANDIKA KIHISIA ZAIDI, LETA FACTS TUZINYAMBUE MKUU
 
Kiufupi huna akili
 
Bashe angewapa hela wenye akili ili wamtetee humu!! Wewe na hao wenzako wawili mmejileta humu kuzidi kumharibia zaidi!! Mmeendelea kuthibitisha kwamba ni kweli alikiuka taratibu ila mmeunganishwa na upumbavu mmoja kwamba sukari imeshuka Bei!! Puumbavu kabisa, mnatunywesha sumu
Makojo bana, btw kwanini unajiita MAKOJO! Anyways Bashe hata kuonana naye sijawahi mimi nasimama na wananchi walio wakuwa wakipata shida ya sukari... Wewe simama kwa ajili ya maslahi ya hao matajiri 7
 
K

Kuna mahali unaweza onyesha hiyo rushwa iliyofanya vibali vikatoka?
Vibali kutolewa kinyume cha taratibu inatosha kuonyesha rushwa imetumika.
Kama unakumbuka sakata la Richmond wajanja walitumia uhaba wa mvua wakaleta kampuni ambayo kweli ilideliver ikaleta mitambo na umeme wakazalisha wakawa wanalipwa vizuri na serikali.
Kasheshe liliibuka pale ilipobainika hiyo kampuni wakati wanapewa hiyo tenda haikuwa na uwezo wala vigezo vya kupewa hiyo kazi, hiyo ndiyo ilikuwa hoja kubwa hadi Lowasa akaamua kujiudhulu uwaziri mkuu.
Tatizo sio kwamba kampuni hiyo haikudeliver
 
Taratibu zipi zilikiukwa..
Swala ni kuwa watu wamekariri! Mazoea!
Kwamba fulani ndio lazima aingize sukari..
Akiingiza mtu mwingine inakuwa sumu..
Kwani hao waliokuwa wanaingiza mwanzo, ambao ndio wapiga kelele kwa Sasa..walikua wanaimwagia sukari maji ya upako ili kutoa sumu?

Inaelekea hujui hata unachotetea .
Hoja ni ukiukwaji wa utaratibu wa kutoa vibali vya uagizwaji wa sukari nje pindi kunapokuwa na uhaba wa sukari viwanda vinapositisha uzalishaji wa sukari.
Utaratibu huo upo na waziri bashe aliukiuka na hilo alikiri bungeni kwamba alilazimika kutokufuata utaratibu huo ili kuwaokoa wananchi baada ya sukari kuadimika.
Mpina ndio akaibuka na hoja zake kwamba waziri kadanganya na amekituka taratibu na kuboronga kabisa hadi kuzipa vibali kampuni za kijanja ambazo hazikuwa na sifa wala vigezo vya kuagiza sukari nje.
Hizo kampuni ambazo nyaraka zake brela zinaonyesha zina hisa ndogo zimetoa wapi fedha za kuagiza sukari za kiasi kikubwa hivyo kama sio hapo tayari kuna suala la utakatishaji wa fedha na ukwepaji wa kodi mkubwa sana umefanyika?
 
Kuthibitisha huna akili. Unaambiwa kila kilo ya sukari imeongezwa bei. Halafu unasapoti kuwa kitendo hicho ni sawa kwa vile upatikanaji wake upo.
Na wewe ulivyoambiwa kila kilo imeongezwa bei ukachukua Kama kanuni ya imani... Ukasadiki kwa vinavyoonekana na visivyoonekana?
 
Watu washakula hela za wale matajiri 7 eti bashe anaua viwanda vya ndani walitaka sukari iendelee kuwa adimu..

Mama ikimpendeza bashe awe naibu waziri mkuu kabisa
Kwanini usiteuliwe wewe?
 
Mtu akikosolewa bila hoja huwa ni majungu. Bashe kawashika pabaya watu flani mpunga umekata lazima wakomae nae ila mwishowe atashinda maana uhaba wa sugar is no longer a story!
Badala ya kukomaa na tozo na ukosefu wa ajira kwa vijana tunapambana na sugar ambayo si tatizo!! Shame on us black skin low IQ!
Bashe ana utendaji kazi unaowatisha wanaomtuhumu. Go go Bashe!
Shame on you stupid idiot.
 
Taratibu zipi zilikiukwa..
Swala ni kuwa watu wamekariri! Mazoea!
Kwamba fulani ndio lazima aingize sukari..
Akiingiza mtu mwingine inakuwa sumu..
Kwani hao waliokuwa wanaingiza mwanzo, ambao ndio wapiga kelele kwa Sasa..walikua wanaimwagia sukari maji ya upako ili kutoa sumu?
Swali gani unauliza Hilo? Na unamuuliza nani?
 
Back
Top Bottom